MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hapo naona unanipa taarifa ya kuwa , Tulia Trust imepelekwa ili impigie Tulia kampeni ..
Sugu ana street creds lakini huwa kuna muda vijana inabidi walipe kodi za nyumba,wanunue vocha, wakina mama wawe na vikundi vyenye hela na mitaji,watoto waende shule nk nk hapo ndipo anapokuja Tulia kama mbunge sahihi kwa wana Mbeya.
Nimekaa Mbeya kwa muda kidogo nakuona mambo yanavyokwenda kwenye ground kwa kweli suala la Sugu kurudi sio mjadala tena kama Dada Tulia atakuwa mgombea ubunge Mbeya.
Siasa za sasa hivi zinahitaji wanasiasa wanaowainuia wananchi kiuchumi na sio kuwainua kwenye maandamano pekee.
Tulia trust imewatoa vijana mitaani imewapa pikipiki,bajaji,wakina mama wamewezeshwa mitaji na mikopo,madarasa yamejengwa nk
Kwani unafikili ananjaa Kama wewe.Mkuu sugu tilimwamini ila keki anakula peke yake hatukumbuki wapiga kura
Hela ya kujenga magest anayo ila ya kuinua Wananchi wake hana
Tunasubiri October tumfute rasmi Mbeya
Unaweza funguka zaidi unaposema "aliyepo ni msukule tuu"Naunga mkono hoja, na kwa vile hadi jeneza lilishazikwa, aliyepo ni msukule tuu, Tulia atulie tuli, jeneza lifanye mambo, then yeye atapita bila kupingwa.
P
Vipi wewe hujuiona ibada hiiUnaweza funguka zaidi unaposema "aliyepo ni msukule tuu"
Mgombea ubunge wa ccm Pascal Njaa(Mayala) katika ubora wake wakukipigania chama chake anafurahia Tulia anavyotoa rushwaVipi wewe hujuiona ibada hii
Naibu Spika akiwa na jeneza anaizika CHADEMA Mbeya Mjini - JamiiForums
P
Mgombea ubunge wa ccm Pascal Njaa(Mayala) katika ubora wake wakukipigania chama chake anafurahia Tulia anavyotoa rushwaVipi wewe hujuiona ibada hii
Naibu Spika akiwa na jeneza anaizika CHADEMA Mbeya Mjini - JamiiForums
P