Tulia: Tusipopitisha bajeti ya serikali Rais anaweza kuvunja bunge

Tulia: Tusipopitisha bajeti ya serikali Rais anaweza kuvunja bunge

Unajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?!

Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?

View attachment 2680325
Kwa kauli hii hakuna haja ya kuwa na Bunge,ni bora tu Serikali ijiandalie na kujipitishia mipango yake yenyewe badala ya kwenda kumfanyia maigizo Bungeni
 
Kwani ikitokea amevunja bunge kama wananchi tutapungukiwa na nini?

Na kama hoja ni kumridhisha rais bas kulikuwa hakuna haja ya kuleta hiyo bajeti bungeni... wao wangetelekeza tu wanayotaka kufanya...
Kama ilivyokuwa Bajeti ya Mabula, wizara imetenga perdiem nyingi kuliko hata hela za kuendesha office.
 
Hapo sio kosa la turia turia anafuata Katiba inasemaje

Na Katiba yenyewe NI ileee ya marikia na imeandikwa kwa lugha ya marikia

Marikia yuleee aliye wai kututeka akatulimisha na kutuuza
 
YAANI BASI. KWA NINI KATIBA INA KIFUNGU KAMA HICHO? KATIBA IJAYO ISIWE HIVYO KIKAONDOKE NDO UFALME WENYEWE WA RAIS KWA KATIBA HII. BUNGE NA MAHAKAMA KAMA WATOTO TU WA SERIKALI!
 
Kupotezeana muda kwa njaa hizi bora wamalize siamini hata robo wana uhakika hahahahahaha hata angekuwa nani hahahahahaha
 
Kupotezeana muda kwa njaa hizi bora wamalize siamini hata robo wana uhakika hahahahahaha hata angekuwa nani hahahahahaha
 
Back
Top Bottom