Tulia: Tusipopitisha bajeti ya serikali Rais anaweza kuvunja bunge

Unajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?!

Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?

View attachment 2680325
BUNGE MAKINI HALIMWOGOPI RAIS LAKINI BUNGE LENYE WABUNGE WALIOTEULIWA NA RAIS KUGOMBEA UBUNGE LAZIMA LIPITISHE HATA KAMA NI BAJETI ISIYO KIDHI MAHITAJI
 
Kiongozi wa muhimili anaye lamba miguu ya mihimili mingine
Kuna muhimili umejichimbia kwenda chini zaidi🐒

20230707_092912.jpg
 
Spika wa Bunge wa hovyo kuwai kutokea kwenye historia ya Tanzania
 
Kiongozi wa muhimili anaye lamba miguu ya mihimili mingine
Hajatunga katiba we fala, tumia hata akili sasa bajeti isipopitishwa unataka serikali itaendeshaje shughuli zake. Vitu vingine watu walitumia logic siyo huo utoto wenu.
 
we
Unajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?!

Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?

View attachment 2680325
Unajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?!

Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?

View attachment 2680325
ina maana siku zote we ulikuwa hujui, au umeleta humu ili iweje. Watu wengine mna roho za kichawi.
 
Hajatunga katiba we fala, tumia hata akili sasa bajeti isipopitishwa unataka serikali itaendeshaje shughuli zake. Vitu vingine watu walitumia logic siyo huo utoto wenu.
Wewe ni nani.kati ya hawa.
1. Mume wake
2. Mke wake
3. Chawa wake
4. Yeye mwenyewe?
 
Safi maana akivunja bunge nae urais kwishney
 
Kama ndivyo ilivyoandikwa Bas anachosema spika ni kweli kabisa!

Huwezi bishana na katiba yetu inayompa Rais mamlaka!!
 
Back
Top Bottom