Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Kawekwa pale kama pichaKiongozi wa muhimili anaye lamba miguu ya mihimili mingine
Mbunge la hovyo kabisa kuwahi kutokeaKwahiyo anasema kuwatishia? Hata asingesema nani mule anaweza kusema hapana?
Kima sana huyuUnajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?!
Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?
View attachment 2680325
Kwa kauli hii hakuna haja ya kuwa na Bunge,ni bora tu Serikali ijiandalie na kujipitishia mipango yake yenyewe badala ya kwenda kumfanyia maigizo BungeniUnajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?!
Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?
View attachment 2680325
Nini umuhimu wa Bunge sasa!?Tulipofikia ni aibu tupu jamani
Kwani we unadhani 2020 walipitishwa na nani kuwa wabunge!?Kumbe wanategemea Rais awateua sio wananchi nchi ya majuhaaa
Matunda ya mwendazake hayaMbunge la hovyo kabisa kuwahi kutokea