tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) jimbo la Uyole mkoani Mbeya Dkt. Tulia Ackson akiwa katika kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2025 ameeleza namna ambavyo watu wanatumia mitandao kutukana na kuwasema Rais Samia kuwa hajafanya maendeleo ilhali reforms zimefanyika bungeni kwa kutumia 4R za Rais huyo. Katika kuyasema hayo amegusia kuwa kwa kuwa simu ni zao na bando zimeshuka bei basi watu wanatumia mitandao kuzungumza wanayojiskia na kutoa matusi.