tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Ndiyo watu wa Mbeya mlichomtuma kusema kwamba "sisi tutakichagua"? au hapo anaposema "sisi" alikuwa na maana gani?
Walimu wa vyuo vikuu walioingia kwenye siasa wakisimama kuongea majuukwani ni Aibu.Aibu naiona mimi kwamba huyu alikua mwalimu wa Chuo kikuu Tanzania π
Na akili zao hata hii comment yako wao wanaona ni tusiAibu naiona mimi kwamba huyu alikua mwalimu wa Chuo kikuu Tanzania π
Problem is wengi wamekaaa kwenye elimu hajatokw nje kwenda ku experience real world application ya elimu yaoWalimu wa vyuo vikuu walioingia kwenye siasa wakisimama kuongea majuukwani ni Aibu.
Ni Aibu zaidi kama uliwahi kufundishwa nae,Aibu naiona mimi kwamba huyu alikua mwalimu wa Chuo kikuu Tanzania π
Mimi najiuliza nini kimetokea hadi watu kufikia hukoo?Aibu naiona mimi kwamba huyu alikua mwalimu wa Chuo kikuu Tanzania π