A Anonymous Guest May 10, 2026 #1 Mi ni mtumishi katika Wilaya ya Misungwi Mwanza, Idara ya Afya. Novemba 2024 tuliajiriwa watumishi 22 hapo, mpaka sasa tuna mwaka na miezi sita hawajatuthibitisha kazini wote 22. Tukiwauliza hawatupi majibu ya kuturidhisha, inatutesa sana hii hali.
Mi ni mtumishi katika Wilaya ya Misungwi Mwanza, Idara ya Afya. Novemba 2024 tuliajiriwa watumishi 22 hapo, mpaka sasa tuna mwaka na miezi sita hawajatuthibitisha kazini wote 22. Tukiwauliza hawatupi majibu ya kuturidhisha, inatutesa sana hii hali.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 May 10, 2026 #2 Kazi ipo 😂