Wakiona Waafrika hawafariki wakipunguza kuleta dawa za HIV. Apo Africa patakuwa mazishi kila konaHata ule utabiri wa limke la tajiri namba 3 dunia kwamba Africa itapoteza maisha ya watu 10,000,000 utagonga mwamba!
Sawa bro ndio maana nimesema tusibweteke
Ww umebakiza ngapi !!??Mkuu umebakiza siku ngapi karatini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Amaizing.Sasa mtu anayeunwa mafua anahitaji huduma gani zaidi ya kupewa juice ili apone haraka? Ulitaka wafanyiwe upasuaji?
Kwanini tusiamini? Tuamini za Nani DJ makengeza na misukule yake?Unaamini Takwimu za Ummy na Katelephone?
Ummy alisema waliopona wanne ,Jiwe kasema waliopona 100 leo tena ummy anasema waliopona 37,sasa hao 100 wa JIWE wapo sehemu gani? Takwimu nazo za katelephone za juzi nazo zikaacha maswali......Acheni MAIGIZO.Kwanini tusiamini? Tuamini za Nani DJ makengeza na misukule yake?
Kwani takwimu za mtaa wa ufipa zinasemajeUmmy alisema waliopona wanne ,Jiwe kasema waliopona 100 leo tena ummy anasema waliopona 37,sasa hao 100 wa JIWE wapo sehemu gani? Takwimu nazo za katelephone za juzi nazo zikaacha maswali......Acheni MAIGIZO.
Takwimu tunazipata kwa Rais wa Twita Kilog2014 anasema tunacheza na cases 2800+Kwani takwimu za mtaa wa ufipa zinasemaje
Ok wewe fuatilia za huko kwa Twitter mkuuTakwimu tunazipata kwa Rais wa Twita Kilog2014 anasema tunacheza na cases 2800+
Za twita zina reflect na hali nayoona mtaani.....Ambulance muda wote zinapita.Ok wewe fuatilia za huko kwa Twitter mkuu
Tunaikosoa serikali kwa kutotimiza wajibu lakini sikubaliani na propaganda za WHO na allies wao kama vile wao ndo wana mamlaka juu ya uhai wa kila kitu duniani.Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha
Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida
Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu
Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
Kwanini mkuu...?Mama lwakatare anaweza kukomenti hivi ulivyokoment?
Naona siku hizi kipimo chetu kimehamia Uganda mkuuKuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha
Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida
Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu
Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha