Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

Kwanini tusiamini? Tuamini za Nani DJ makengeza na misukule yake?
Ummy alisema waliopona wanne ,Jiwe kasema waliopona 100 leo tena ummy anasema waliopona 37,sasa hao 100 wa JIWE wapo sehemu gani? Takwimu nazo za katelephone za juzi nazo zikaacha maswali......Acheni MAIGIZO.
 
Kwani takwimu za mtaa wa ufipa zinasemaje
 
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
Tunaikosoa serikali kwa kutotimiza wajibu lakini sikubaliani na propaganda za WHO na allies wao kama vile wao ndo wana mamlaka juu ya uhai wa kila kitu duniani.
Kwa hili namkubali JPM, hakuna h
aja ya hofu, adui no. Moja wa binadamu ni hofu.

Kwa wale mnaofuatilia elimu ya kiroho shetani anawin zaidi kwa kuwatia watu hofu, hofu ni siraha yake kubwa sana kudisturb equilibrium ya wanadamu
 
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida

Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
Naona siku hizi kipimo chetu kimehamia Uganda mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom