Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

Unaweza ukawa unadunda nao, na unaudundisha kwa wenzako. Haupimwi kwa macho. Na huo utamaduni wa kutokupima mpaka usikie kuumwa ndio hatari kwa huu ugonjwa.
Tuwe serious tuache mzaha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio mzaha ni kueleweshana hapa na kutoana hofu ndugu. Tangu corona kuripotiwa kwa mara ya kwanza nchini, je ni muda gani umepita? Hiyo probation window ya 14days kwa mtu aliyeambukizwa na kama hali ni mbaya kihivyo tunavyoaminishwa, mbona ni zaidi ya hizo siku 14!!
Ni vema tukawa tunaeleweshana haya mambo pasipo kuwekeana hofu kwa sababu hofu nayo ni shida nyingine kubwa sana pengine hata zaidi ya hiyo corona yenyewe. Watu waambiwe tu kuwa ugonjwa upo na unaua na watu wachukue tahadhari nyingi na sio kutoa taarifa za watu kuugua kila siku na kuanza jazana hofu.
Angalia sasa matatizo yaliyosababishwa na hii hofu, watu wengi wataingia kupata shida ya akili tu kwa kufungiwa ndani, uchumi wa mtu mmoja mmoja kuanguka kutokana na kupoteza vipato na taifa zima kukosa mapato kwa kuwa watu hawafanyi kazi za uzalishaji. Ulaya na Marekani huko watu wanaandamana kwa kuwa wameona huu ni ujinga sasa kuwafungia watu ndani wanakosa chakula na fedha halafu corona yenyewe haiishi.
Approach ya kukabiliana na hili tatizo ilikuwa mbaya na watu hawakuelekezwa kiusahihi hatua za kuchukua ili wakabiliane nalo na matokeo yake sasa ugonjwa haujaisha na tumezalisha matatizo mengine lukuki. Nchi zinazotegemea utalii kwa mfano, zimeingia kwenye mdororo mkubwa sana wa kiuchumi kwa sababu ya watu wachache waliojiona wao ni wataalam wakatushauri vibaya kwa interests zao na matokeo yake tumeingia kwenye shida zingine lukuki.
Akili ya binadamu imeumbwa kufanya kazi sana na kwa ufanisi ili kupata suluhu wakati wa changamoto na sio hii ya kutishana na kutiana hofu na kuzifanya akili kudumaa na kulala kabisa.
Amini nakwambia matokeo yote mabaya yatakayokuja baada ya hii corona hayatakuwa yametokana na ugonjwa wenyewe bali ni maamuzi yasiyo sahihi ya kukabiliana na huu ugonjwa.
 
Za twita zina reflect na hali nayoona mtaani.....Ambulance muda wote zinapita.

Na hizo ambulance kupita huwa zimeweka bango mlangoni kwamba wana mgonjwa wa corona??
Na vipi kabla ya hapo hukuwahi kuziona ambulance kupita mtaani kwako? Vipi magonjwa mengine hayasababishi ambulance kupita mtaani kwako?
Labda nikuulize swali la kizushi, hapo mtaani kwako wameshakufa watu wangapi mpaka sasa kwa corona? Na wanaoumwa ni wangapi vileee??
Ila chukua tahadhari ugonjwa huu upo na magonjwa mengine yapo tena makali zaidi ya huu, lakini usiache kuendelea na maisha ndugu.
 
Wacha MATUSI KIJANA ,,wakati NYERERE anaongoza PENGINE hata KAMASI HAZIJAKUTOKA PUANI...hebu nipe SABABU ulizohadithiwa na WAKUBWA ZAKO kile KIBAYA ALICHOKIFANYA NYERERE kikatufikisha hapa,,,,LEO

Sent using Jamii Forums mobile app

kuna tusi gani nimeandika????

Hao waliokuambia kuhusu LaanatullahiNyere wamekupiga changa la macho

Hivi unakijua alichokifanya Laanatullahi Nyerere Zanzibar na Tanganyika lakini wa kuwalaumu ni waingereza waliomweka madarakani baada ya kuangushwa na wanajeshi

Huyo baba yako unayemwona bora kuliko baba yako mzazi , aliivamia Zanzibar na kumkamata waziri mkuu wake Muhammed Shamte aliyechaguliwa na wananchi na kuwafunga katika jela za Tanganyika pamoja na mawaziri wake wote kabla hata huo uvamivi haujapewa jina la muungano hapo April 26, 1964

walikaa magerezani kwa zaidi ya miaka 10 bila kufikishwa mahakamani

Leo nyinyi wajuku zake mumefanya hayo hayo kwa kuwafunga masheikh na waislamu huku mukijidanganya kumuomba Mungu awaondolee korona ,

Kwa dhuluma zenu subirini bakora inakuja
 
Mnaona hali ni shwari kwa kua hamna ndugu yako aliyekufa kwa corona

Kuna watu wanalia na kusaga meno
 
Hii kitu ikija haina ufipa wala ugogo. Bora ungeelekeza akili zako kwenye kujikinga. Wafadhili wako wanaweza wasikumbuke kuwa wana mbwa
Wewe mama una hasira na hasira hizi zinatokana na kwamba matarajio yenu hayatimii,!

Sasa utaendelea kuwa na hasira hivyo hivyo na ikiwezekana kajinyonge kabisa ili usishuhudie ukuu wa Mungu kwa Watz katika janga hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli ndugu yake shetani. Hali hiyo ingetokea iwapo hatua kadha wa kadha zisingechukuliwa (ceteris paribus) kama awareness, maombi na kadhalika. Kazi inafanyika na kazi imefanyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanini utumie nguvu kubwa kiwatisha watu?Ktk familia yako au ukoo wako kuna mwenye CORONA au kafa corona na mwanzo alikua mzima?Elewa ni ugonjwa wa kawaida ila umekuja na propaganda za kutosha.

Senti bai yuzingi tecno T301
Nadhani pia utakuwa umeelewa kile nilichoandika mwanzo hadi mwisho... Vinginevyo umefanya makusudi kutonielewa...
 
Kila mtu aangalie mtaani kwao wamekufa wangapi au sio[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusitegemee kupata takwimu sahihi,watu wameshapewa onyo na kutishiwa kama wataendelea kutoa data!Pia kupima kumekuwa discouraged!Ni kama tumeambiwa tupambanae na hali zetu!
Kwani mtaani kwenu hali ikoje? Mimi naona hali iko mbaya mitandaoni tu lakini mitaani maisha yanaendelea kama kawaida bila tatizo lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi wamebadilisha sio wiki 2 tena,wanakuambia mwezi wa 5 au mwezi wa 6………
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…