Kuna siku Bi mkubwa alikuwa anaongea na mtu kwenye simu,basi yule mtu akawa anamwambia kuwa hapo anapokaa(buguruni) ni kwamba wameshazika watu sita(anaowafahamu) waliyokufa kwa corona. Yani kwamba watu wamekufa na inajulikana kuwa ni vifo vya corona halafu et raia wakazika kama mazishi ya kawaida,nikaona hapa kuna tatizo la uelewa ni kwamba watu wamejazwa hofu kuliko uelewa.Kila mtu aangalie mtaani kwao wamekufa wangapi au sio[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Laanatullahi nyerere ndio fala kabisa hapo , yeye ndiye katufikisha hapa tulipo leo
Mtaani kwangu wanaumwa watu wa3 korona.
Kuna siku Bi mkubwa alikuwa anaongea na mtu kwenye simu,basi yule mtu akawa anamwambia kuwa hapo anapokaa(buguruni) ni kwamba wameshazika watu sita(anaowafahamu) waliyokufa kwa corona. Yani kwamba watu wamekufa na inajulikana kuwa ni vifo vya corona halafu et raia wakazika kama mazishi ya kawaida,nikaona hapa kuna tatizo la uelewa ni kwamba watu wamejazwa hofu kuliko uelewa.
Na tatizo lingine tumejaa taarifa za upotoshwaji sana. Yaani mtu yuko radhi kuamini maneno ya bwana fulani kule twitter halafu ya waziri wa afya au PM akayaona ni maneno ya uongo. Sasa unajiulizaa, mtu mmoja yuko mtandaoni kwamba yeye anaweza kuwa na taarifa sahihi zaidi ya PM ambaye anapokea taarifa za nchi nzima?
Labda uelewa wangu ni mdogo na basi pia PM anapewa taarifa za uongo na watendaji wake wote nchi nzima. Hii inasikitisha sana kwa kweli.
Kwa LUGHA YA KWENU KOJANI ,,,hivi FALA inamaanisha nini? NYERERE ANA UHUSIANO GANI NA HALI YA INCHI ilivyo SASA?kama ni SUALA LA VIONGOZI KUFUNGWA,,,huyo SHAMTE NDY WAKWANZA? hilo suala LA kufungwa SHAMTE LINAHUSIKA VIPI NA HALI YA UCHUMI WA TANZANIA KWA SASA? Mambo ya MASHEHE WA UAMSHO NYERERE ANAHUSIKA VIPI? NYERERE alikuwa Nov 1999..UAMSHO WAMEKAMATWA MIAKA KUMI BAADAE,,yeye anahusika na nn? VIONGOZI WOTE WANGEKUWA WAZALENDO KAMA NYERERE Leo tusingekuwa hapa TULIPO....WEWE utakuwa UMEAMINISHWA UPUUZI..NYERERE KAACHIA INCHI HII ILIKUWA na VIWANDA VINGI SANA,,,HATA SEKTA YA MADINI alikataa KUINGIA mikataba ya KIPUUZI.,,mpaka sekta ya UVUVI PIA KULIKUWA NA MELI ZA MUUNGANO WA CHINA NA TANZANIA,,,MABAHARIA TUNAPANDA NDONGA...WAKATI NYERERE ANAACHIA INCHI DOLA MOJA ILIKUWA SHULING NGAPI?ANZIA HAPO KWANZA...Leo hakuna hata kimoja kilichopo KWENYE USO WA RAMANI YA TANZANIA.... HIVI MZAZI KAACHA MALI,,watoto WAMEUZA KILA KITU,,,na KURUDI KWENYE ULOFA,,wa kumlaumu ni MZAZI ALIYEKUACHIA MALI? au watoto waliotumia kwa FUJO?USITUKANE WAZEE WEWE KIJANA....Mimi nimesoma enzi ya NYERERE TUKIKUNYWA UJI WA BLUGA SHULENI..NA KUPEWA MADAFTARI...leo HUO UJI UNAULIPIA ,tena sio uji wa maziwa,,ni chumvi na dona,, UNAMTUKANIA NN MZEE WA WATU? mwache apumziike kama UKIVYOWAACHA WAZEE WAKO CHOKOCHO...kama neno FALA SIO TUSI,,BASI NA WEWE PIA FALA...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna binadamu anayekosa mabaya, kwahiyo hakuna la ajabu hapo. Punguza chuki ulizobeba vizazi na vizazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walitaka kuwatia hofu muende kuwapigia magoti na kukubali chango za kishetwani za akina Bill GatesKuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha
Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida
Kuna wakati ujuaji wa wanadamu hukwama kwa uwezo wa mwenyezi Mungu
Watu wajifunze kuwa kuna Mungu aliyewaumba na ndiye mtetezi wa wote kwenye shida na raha
Mkuu mkakati ni kuwa: wenye kufa acha wafe hadi tiba au chanjo itakapopatikana.
Watakaokufa potelea mbali watakaopenya bahati yao. Haituhusu.
Life goes on. As plain as that. Ukweli mchungu. Hiyo ndiyo Brazilian style tuliyochagua kufuata:
Kumbuka kama ilivyo kwa rais wa Brazil rais wetu pia yuko katika listi hii iliyoushangaza ulimwengu. Si kwa werevu lakini:
View attachment 1429051
Ni sawa na ubishani wa Dini, huwa nauona hapa JF tu, lakini kitaani hakuna.Kwani mtaani kwenu hali ikoje? Mimi naona hali iko mbaya mitandaoni tu lakini mitaani maisha yanaendelea kama kawaida bila tatizo lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mapema sana kuhukumu hao viongozi, historia ndio itakayo hukumu Kama wametenda jambo sahihi au kosa baada ya huu ugonjwa kuondoka.
Hiyo "video clip" unayoiamini itizame na kuisikiliza vizuri. Za kuambiwa changanya na zako, huyooo unasepa.Wee mama ni pumbavu kabisa..
Wale wagonjwa waliokimbia jana Amana kwa kukosa huduma kwako ni kawaida eehh?
Wagonjwa wanatoa maiti wao wenyewe wodini kwa kukosa wahudumu kwako ni normal kabisa..!?
Lofa wewe.
Mkuu hata wao wazungu washaanza kushutuka huenda vipimo vinawadanganya, juzi nilisoma article kuwa kipimo cha corona hakitafuti kirusi cha coronavirus bali kinatafuta uwepo wa antibodies.Wewe ndio MPUMBAVU. Mgonjwa serious hakimbii hospital. Kama unafuatilia mambo vizuri kuna jamaa wa Kenya alilalamika kuambiwa ana CORONA na kapelekwa hospital na hamna anachopewa. So wengi si wagonjwa, Mgonjwa unapata wapi nguvu za kukimbia?Taarifa za kwenye media na mazingira halisi ni vitu viwili tofauti. Kama unaambiwa kila siku madereva wa Tanzania wanakutwa na corona Uganda, hujiulizi corona hii hii Mtu anapiga gia Dar to Uganda na yupo fiti?
Senti bai yuzingi tecno T301
Ni sawa na ubishani wa Dini, huwa nauona hapa JF tu, lakini kitaani hakuna.
Na tunavyoishi kwenye Jumuiya zetu tangu tuko wadogo, wote ni kitu kimoja, Msiba wako nitahudhuria halikadhalika Msiba wangu utahudhuria.
Sherehe yako nitahudhuria na Sherehe yangu halikdhalika utahudhuria.
Ni sawa na waTanzania wengi kuwa hawaamini uwepo wa Mungu, hao wasiomini uwepo wa Mungu huwa nawaona hapa JF tu, lakini kitaani hakuna
Hao wanaoumwa magonjwa hayo sijui ila hao watatu wa covid19 walikuja kuchukuliwa na wataalamu wa afya huku wakivalia mavazi ya kujikinga.Na wanaoumwa ngoma wako wangapi? Malaria, hepatitis, cancer, TB???? Vipi hao hawajawahi kutokea mmoja wao akachukuliwa na ambulance?
Hata hivyo chukua tahadhari, vaa barakoa, nawa mikono mara kwa mara na fuata masharti mengine ya kitabibu, kisha fanya kazi njaa isijeingia ktk familia yako..
Nilijua tu mchezo mzima upo kwenye vipimo na karibia wote waliyokufa hapa Tz ni wale waliyokuwa na maradhi yao mengine.Mkuu hata wao wazungu washaanza kushutuka huenda vipimo vinawadanganya, juzi nilisoma article kuwa kipimo cha corona hakitafuti kirusi cha coronavirus bali kinatafuta uwepo wa antibodies.
Mwili ukipata kirusi hutengeneza antibodies, amabazo husadiakuangamiza kirusi na hata zikishakiangamiza hizo antibodies zinaweza kubaki kwa muda mrefu tu mwilini pengine mwaka au zaidi.
Mafua ya SARS na MERS ni jamii pia ya coronavirus ambapo hiki cha sasa kinajuliana kamana Corona-2. Hivyo vipimo vinavyotumiaka, akama anayepimwa aliwahi kupata SARS au MERS huko nyuma na bado mwili wako una antibodies za kupambana na hivyo virusi akipimwa atapatikana kuwa na corona.
Pia hii ni same case kwa wale waliopimwa awali wakatibiwa na wakaja kugundulika kuwa imejirudia, ni kwamba wakipimwa wanagundulika kuwa na antibdies ambazo huenda zimetoana na adhari za awali.
Hata wao wataalamu wameanza kuhisi kuna tatizo kubwa linalotokana na vipimo. Wanase kugundua antibodies ni rahisi lakini kuzitafsiri ndiko kuna shida.
Hii ni tofauti na UKIMWI maana virusi vya HIV ni tofauti na hivi vyenyewe siyo coronavirus. Hivyo antibodies zake ni tofauti kabisa.
Hao wanaoumwa magonjwa hayo sijui ila hao watatu wa covid19 walikuja kuchukuliwa na wataalamu wa afya huku wakivalia mavazi ya kujikinga.
Kweli wewe hata huyo nyerere humjui , utakuwa ni mtoto uliyezaliwa kwa mbio za mwenge.
Yaani Shamte yuko nchi nyengine unaivamia na kuwafunga viongozi wake kwenye nchi yako wewe unasema sio wa kwanza , hapo tukuelewe vipi ???
Biblia inasema kwa matunda yao utawatambua
Nyerere ndiye aliyepanda huu mti wa CCM na sasa ndio tunavuna haya matunda yake , unalalamika kitu gani ??
Ukinywa uji upi na wakati wake hata chumvi tukibadilisha na dhahabu , Mbeya. Viatu tukivaa mapira ya gari , Sigara watu wakiuza pafu moja mtu mmoja.
Chakula kwa kadi tena unapewa dona la njano tukiita , YANGA tena unga wenyewe ulitoka Marekani , mahindi wanayolishia farasi huko kwao.
Fala wako ni balaa alikuwa akilitumikia kanisa kinoma.
Hiii ni article ya mwaka 1993 kabla huyo Laanatullahi hajafa
MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.
Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.
Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:
Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.
Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.
Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.
Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.
Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.
Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:
Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.
Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.
Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.
Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.
Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!
Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.
Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.