HOJA Tuliambiwa Mwendokasi Gongo la Mboto ingeanza Julai 1, 2026, tunaelekea Agosti 2026, kimya

HOJA Tuliambiwa Mwendokasi Gongo la Mboto ingeanza Julai 1, 2026, tunaelekea Agosti 2026, kimya

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Tuliambiwa huduma ya mabasi ya Mwendokasi njia ya kwenda Gongo la Mboto itaanza kupatikana 01/07/2026 lakini mpaka sasa kimya wahusika watupe majibu.
 
... huu ni uchawi wa bodaboda na vibajaji OPERATORS!
NB: Unafikiri ni kwanini bodaboda walikuwa wakali sana kwa mabasi na vituo vya mwendokasi kwenye 'chomachoma' ya OCT29? ... BIASHARA TU!
😅
 
Tatizo Tundu Lissu yuko huko, tunaamini akiondoka huko mambo yatakamilika na wananchi mtafurahi.
 
Back
Top Bottom