A Anonymous Guest Jul 25, 2026 #1 Tuliambiwa huduma ya mabasi ya Mwendokasi njia ya kwenda Gongo la Mboto itaanza kupatikana 01/07/2026 lakini mpaka sasa kimya wahusika watupe majibu.
Tuliambiwa huduma ya mabasi ya Mwendokasi njia ya kwenda Gongo la Mboto itaanza kupatikana 01/07/2026 lakini mpaka sasa kimya wahusika watupe majibu.
Kishimbe wa Kishimbe JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 7,835 Reaction score 8,703 Jul 25, 2026 #2 ... huu ni uchawi wa bodaboda na vibajaji OPERATORS! NB: Unafikiri ni kwanini bodaboda walikuwa wakali sana kwa mabasi na vituo vya mwendokasi kwenye 'chomachoma' ya OCT29? ... BIASHARA TU! 😅
... huu ni uchawi wa bodaboda na vibajaji OPERATORS! NB: Unafikiri ni kwanini bodaboda walikuwa wakali sana kwa mabasi na vituo vya mwendokasi kwenye 'chomachoma' ya OCT29? ... BIASHARA TU! 😅
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,523 Reaction score 30,084 Jul 25, 2026 #3 Tatizo Tundu Lissu yuko huko, tunaamini akiondoka huko mambo yatakamilika na wananchi mtafurahi.