Tuliambiwa tunanzia kwenye makundi inakwaje tulianzia mtoano

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,630
Reaction score
2,169
Tukiwa tumehakikishiwa tunanzia makundi champions league ya Africa. Sisi wekundu tukasajili wachezaji mafundi wenye uzoefu gafla tukanzia mtoano kwa kukosa wachezaji wenye uzoefu na team ndogo kama ya wamakonde tukatolewa.
Je tulihujumiwa au tulidanganywa na kwanini aliamua kutudanganya lazma tuhoji sisi wekundu.
 
Suala la kutolewa na US de Songo linawaumiza kichwa mbumbumbu sana, wakati kwa siye wengine tulijua Mikia atatolewa, huku mitaani hali ni shwari kabisa hawana nyimbo kabisa
 
Timu zote zilizofika robo fainali ccl mwaka Jana, zitaangukia shirikisho. Hivyo sisi Simba tunaomba Yanga atolewe kwenye ccl ili tupangwe naye kwenye shirikisho. Alisikika mlevi mmoja wa mataputapu
 
Suala la kutolewa na US de Songo linawaumiza kichwa mbumbumbu sana, wakati kwa siye wengine tulijua Mikia atatolewa, huku mitaani hali ni shwari kabisa hawana nyimbo kabisa
Kwahiyo yanga mkitolewa bado mtakua kimataifa sasa c mtatuumiza sana sisi simba
 
Mbumbumbu mnashikwa masikio sana na yule Kibakuli lopo lopo!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ulaghai sasa
 
Kweli nyie ni Mbumbumbu fc aka mikia

kila siku mnadanganywa kwani nyie hamjui kusoma kanuni na mfumo wa mashindano ya CAF?
 
Suala la kutolewa na US de Songo linawaumiza kichwa mbumbumbu sana, wakati kwa siye wengine tulijua Mikia atatolewa, huku mitaani hali ni shwari kabisa hawana nyimbo kabisa
Wanaiona ligi ni ndefu sahizi hadi msimu ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…