Hapana ndugu .. sikuwahi ulizaVip hukujua kwanini mkuu?? maana me nilimuuliza sana Mama lakini hakuniambia kitu
Hivi ni dawa ya mboga au dawa ya jiko
hahahaha..walisema usiku hutakiwi kusema chumvi...ila sema dawa ya jiko....kuna siku nikasema nitest mitambo..nikatia chumvi jikoni.....duh nikasikia tu milio ya risasi,mabomu ,makombora n.k...then moto ukazima kama mshumaaWewe uliyeambiwa DAWA YA JIKO ni wa zamani zaidi!!!
hahahaha..walisema usiku hutakiwi kusema chumvi...ila sema dawa ya jiko....kuna siku nikasema nitest mitambo..nikatia chumvi jikoni.....duh nikasikia tu milio ya risasi,mabomu ,makombora n.k...then moto ukazima kama mshumaa
ndio mhenga mwenzangu...umejuajeeeeIlikuwa DAWA YA JIKO ya mawe?
ndio mhenga mwenzangu...umejuajeeee
Ni imani tuu na chumvi Ina nguvu sana kiimani kwaiyo iliitwa dawa ya mboga usiku ili kuelezea kuwa ni kwa matumizi ya mboga na sio yakiimani maana chumvi ingewezatumika kujilinda dhidi ya wachawi sasa mwenye duka na waliodukani huwezijua mchawi nani sisi tukiwa wadogo bundi akilia tulirusha jikoni na kuinenea shindwa shindwa na bundi aliondokaHabari wana jukwaa la Histori.
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Hapo juzi juzi miaka ya nyuma kidogo wazazi , walezi na wakubwa wetu walikuwa wakitusisitizia sana pindi walipo kuwa wakitutuma chumvi dukani usiku ya kwamba tusiseme chumvi ila tusema "DAWA YA MBOGA" .
Kulikuwa na ulazima gani katika hili?
Ni imani tuu na chumvi Ina nguvu sana kiimani kwaiyo iliitwa dawa ya mboga usiku ili kuelezea kuwa ni kwa matumizi ya mboga na sio yakiimani maana chumvi ingewezatumika kujilinda dhidi ya wachawi sasa mwenye duka na waliodukani huwezijua mchawi nani sisi tukiwa wadogo bundi akilia tulirusha jikoni na kuinenea shindwa shindwa na bundi aliondoka
Ndivyo ilivyokua niliwahi kudadisi nikaambiwa wachawi wanapenda kujaribu watu ili wajue nguvu zao sasa kwa matumizi ya chumvi ni wazi kuna namma watu wanaelewa namma yakujilinda/kujizindikaLogical answer.
Kwa namna hii ndo maana mamaza walikaza kutuambia sababu.
Anhaa!! Dah wazee wetu walikuwa na mambo mengi aise.Ni dawa ya jiko, najua mtoa mada amesahau kidogo maana ni long time sana.
Sababu niliambiwa ni kumchanganya mwanga ili asije akaiharibu na hatimae akaharibu mboga. Kumbuka hilo neno lilitumika usiku ambapo ndo mida ya wanga kupiga misele.
Mwanga akiharibu mboga lazima ichache . So hiyo ilikuwa ni kuwapiga chenga wanga.
Swali: Je wanga wenyewe walikuwa hawalifahamu hilo jina la dawa ya jiko?