Tuliambiwa tuseme "Dawa ya mboga " tulipo tumwa chumvi usiku


Umenikumbusha mengi Mkuu.. Mambo ya JF haya, Glad to be here.
 

Nikiwa darasa la sita mwishoni mwa 80's ilikuja ambulance shuleni kumbe mwalimu mmoja alizidiwa. Wakaibuka wanafunzi wakisema wanyonya damu (hivi Mshana Jr na Bujibuji nadhani walikuwa wanasema mumiani).

Na hivi ndio hali ilivyokuwa..
 
Baadhi ya maeneo walisema dawa ya jiko
 
Umenikumbusha mengi Mkuu.. Mambo ya JF haya, Glad to be here.
Baadhi ya maeneo ilitumika kwenye matanuri wakati wa kuchoma tofari kwakuwa mtazamo huohuo kwama tanuri lingeweza kubuma lisiungue na kuiva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…