Makamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi?
Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
Kaa kwa kutulia, utapewa Taarifa.Makamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi?
Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
Gentleman,Makamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi?
Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
Swali la msingiWewe ulichangia sh ngapi?
Ushauri wa bure:Usichange tena maana inaonekana huwa unajuta baada ya kuchangaMakamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi?
Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
Itawauma sana. Na bado tutaendelea kuchanga. Umeona mziki wa Heche Musoma. Tumechanga na tutaendelea kuchanga.Makamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi?
Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
Leta maelezo ya kielekroniki ulivyochangia "donyodonyo" ya CDM upewe mualiko rasmi.Makamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi?
Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
Kwamba,huwa uchungu unamshika kwa ghafla sana?Ushauri wa bure:Usichange tena maana inaonekana huwa unajuta baada ya kuchanga
Ulichangie kiasi gani urudishiwe! leta mesji ya mchango wako!Makamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi?
Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
Changeni tu manyumbu nyie heche na mnyika wanasubiri michango yenu.Makamanda Shalom!
Ni takribani siku 11 sasa taangu siku ambayo kikao cha kamati kuu cha Chama chetu kingetakiwa kukaa sasa mpaka leo hii hatujapewa taarifa kuwa kikao kitafanyika lini au pesa zimechepushwa kwenda kwenye kilimo cha Maparachichi?
Makamanda tuulize viongozi pesa ziko wapi?
Utaambiwa na nyumbus waliomo humu kuwa "Wacha ziliwe" lakini kijengwe choo kwa ajili ya wananchi kwa matundu kumi kwa milioni 30 uwaone hao nyumbus watakavyojua resi, "Pesa imeliwa. Rais AJIUZULU!"Makamanda Shalom!