Tulichokifanya Simba Jana

Tulichokifanya Simba Jana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni Sawa Na Kumkimbiza Mwizi Lakini Tukawa Tumesahau Kufunga Mlango.

Nikimaanisha Kwamba Tulijazana NYOMI La Kufa Mtu Kuwapa Sapoti Etoile Sportive Du Sahel Taifa Lakini Kikosi Chetu Cha Homa Ya Vipindi Kitatufanya Vibaya Jijini Mbeya.

Ila Kweli Yanga Ni Timu Ya Kimataifa Kwani Dakika 70 Nzima Mpira Wanachezewa Wao Na Wanautafuta Tu Kwa Tochi. Kutoa Sare Jana Na Hao Waarabu Tena Mkiwa Kwenu Nyumbani Taifa Ni Sawa Sawa Na Ng'ombe Amesogezwa Machinjioni Na Shughuli Ya Kuelekea KIBRA Itafanyika Ndani Ya Jiji La Tunis Wiki Mbili Zijazo.

Yanga IKIITOA Etoile Sportive Du Sahel Kwao Nchini Tunisia Basi Mamvi Atakuwa Rais Ajaye Wa Tanzania ILA KWA TUNAOUJUA MPIRA KWA KIFUA MBELE NA JEURI ZOTE TUNASADIKI KUSEMA KWAMBA " SHUGHULI IMEKWISHA " Na Yanga Wajipange Tu Kwa Mashindano Yajayo.

Na Ili Kuonyesha Kuwa Yanga Bado Watakuwa Na Hali Mbaya Endapo Watauchukua Ubingwa Wa Vodacom Premier League Msimu Huu Na Kupata Tiketi Ya Kushiriki Kombe La Klabu Bingwa Afrika Nimesikia Kuwa Mechi Yao Ya Kwanza Watacheza Na Enyimba Ya Nigeria.

Na Kama Watafuzu Hapo Watacheza Na TP Mazembe Ya DRC Na Wakivuka Hicho Kigingi Watakutana Na Al Ahly Ya Misri ILA Sina Uhakika Kama Hiyo Mechi Yao Tu Kwanza Na Enyimba Watapita.
 
Unaota mkuu,bingwa hajajulikana tayari umetengeneza ratiba na NAOMBA UNIJUZE ILI MKUU NA KTK MICHUANO HYO YA KIMATAIFA SIMBA ATACHEZA NA TIMU ZIPI?
KUNA JAMAA KANIAMBIA KUWA ROUND YA 1 V STAND UTD,KM MTAVUKA MTAKUTANA NA KAGERA NA MKIFANIKIWA BASI MBEYA CITY NDIO UTAKUWA MWISHO WENU.
 
GENTAMYCINE nyie mnajulikana bana kama ford la mkaa mbili barabarani moja gereji. Tena vibaraka wenu azam nao wamelegea badala mkaze angalau mje juu matokeo yake mnakazwa nyie. Waarabu walishangaa kuona wana mashabiki weusi ugenini wakajiuliza kheee watunisia wamebadilika ngozi
 
Last edited by a moderator:
Timu ya simba kwa sasa bado changa.. wale watoto tuendelee
Kuwaamin cha msingi ni kujazia nafasi chache. Naamin itakuwa tishio balaa vuten subira na tuwape support vijana!!

Yanga timu ya magazetini acha waendelee kujifariji!! Ila ndiyo kwa heri!! Huyo mwarabu tulipiga tatu moja taifa na tukaenda kumtolea leap!!..
 
Huna Adabu!
 
GENTAMYCINE nyie mnajulikana bana kama ford la mkaa mbili barabarani moja gereji. Tena vibaraka wenu azam nao wamelegea badala mkaze angalau mje juu matokeo yake mnakazwa nyie. Waarabu walishangaa kuona wana mashabiki weusi ugenini wakajiuliza kheee watunisia wamebadilika ngozi

Mkuu Rekebisha Kidogo Hapo Ktk Neno " TUNAKAZWA " Siye Wana Simba Ili Twende Sawa!
 
Timu ya simba kwa sasa bado changa.. wale watoto tuendelee
Kuwaamin cha msingi ni kujazia nafasi chache. Naamin itakuwa tishio balaa vuten subira na tuwape support vijana!!

Yanga timu ya magazetini acha waendelee kujifariji!! Ila ndiyo kwa heri!! Huyo mwarabu tulipiga tatu moja taifa na tukaenda kumtolea leap!!..

Ndemla, Mkude, Singano Bado Wachanga? Usituzingue Na Wewe UKATUFANYA TUCHAFUE HALI YA HEWA Sasa Hivi. Simba Kuna Tatizo!
 
Hiyo story zilipendwa!!
 
lakin watan hongeren mtapata nafas ya kushiriki mapinduzi cup mwakan kila la kher
 
Timu ya simba kwa sasa bado changa.. wale watoto tuendelee
Kuwaamin cha msingi ni kujazia nafasi chache. Naamin itakuwa tishio balaa vuten subira na tuwape support vijana!!

Yanga timu ya magazetini acha waendelee kujifariji!! Ila ndiyo kwa heri!! Huyo mwarabu tulipiga tatu moja taifa na tukaenda kumtolea leap!!..

kwa kua hii kauli ni ya mara kwa mara nashauri tff watuondolee huu mzigo waurudishe daraja la 2 wakikua wawalete tuendeleze mapambano
 
Ndemla, Mkude, Singano Bado Wachanga? Usituzingue Na Wewe UKATUFANYA TUCHAFUE HALI YA HEWA Sasa Hivi. Simba Kuna Tatizo!

Umekula maharage ya wapi ukavimbiwa!!?? Mpira siku zote unaenda kwa statistics.. tuambie age average ya kikosi cha simba ukilinganisha na timu zingine!..

Usiropoke ovyo!!...simba kuna tatizo gani zaidi ya uchanga wa wachezaji..?

Vijana wako talented wanaujua mpira.. kikubwa ni kuwapa muda wakomae.. halafu yanga itie pua kama lazima ile wiki
 
Nyumbani mbele ya mkweo maji unaita mmma je kule kwao unategemea nn?
 
Acha ushabiki wa zamani,iombee Yanga ifanye vizuri coz inawakilisha nchi yako including yourself! Kuwa mzalendo na nchi yako.
 
wabongo bwana ni shiiida,kazi tunayoifanya ni kuombeana njaa,Yanga is the best team in Tz whether u like or not this is the truth.
 
Mpira wa Bongo upo kwenye magazeti ya udaku tu. Mara Simba mara Yanga, uwanjani hamna kitu kabisa, zero.
 
Back
Top Bottom