GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni Sawa Na Kumkimbiza Mwizi Lakini Tukawa Tumesahau Kufunga Mlango.
Nikimaanisha Kwamba Tulijazana NYOMI La Kufa Mtu Kuwapa Sapoti Etoile Sportive Du Sahel Taifa Lakini Kikosi Chetu Cha Homa Ya Vipindi Kitatufanya Vibaya Jijini Mbeya.
Ila Kweli Yanga Ni Timu Ya Kimataifa Kwani Dakika 70 Nzima Mpira Wanachezewa Wao Na Wanautafuta Tu Kwa Tochi. Kutoa Sare Jana Na Hao Waarabu Tena Mkiwa Kwenu Nyumbani Taifa Ni Sawa Sawa Na Ng'ombe Amesogezwa Machinjioni Na Shughuli Ya Kuelekea KIBRA Itafanyika Ndani Ya Jiji La Tunis Wiki Mbili Zijazo.
Yanga IKIITOA Etoile Sportive Du Sahel Kwao Nchini Tunisia Basi Mamvi Atakuwa Rais Ajaye Wa Tanzania ILA KWA TUNAOUJUA MPIRA KWA KIFUA MBELE NA JEURI ZOTE TUNASADIKI KUSEMA KWAMBA " SHUGHULI IMEKWISHA " Na Yanga Wajipange Tu Kwa Mashindano Yajayo.
Na Ili Kuonyesha Kuwa Yanga Bado Watakuwa Na Hali Mbaya Endapo Watauchukua Ubingwa Wa Vodacom Premier League Msimu Huu Na Kupata Tiketi Ya Kushiriki Kombe La Klabu Bingwa Afrika Nimesikia Kuwa Mechi Yao Ya Kwanza Watacheza Na Enyimba Ya Nigeria.
Na Kama Watafuzu Hapo Watacheza Na TP Mazembe Ya DRC Na Wakivuka Hicho Kigingi Watakutana Na Al Ahly Ya Misri ILA Sina Uhakika Kama Hiyo Mechi Yao Tu Kwanza Na Enyimba Watapita.