VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
Umekula maharage ya wapi ukavimbiwa!!?? Mpira siku zote unaenda kwa statistics.. tuambie age average ya kikosi cha simba ukilinganisha na timu zingine!..
Usiropoke ovyo!!...simba kuna tatizo gani zaidi ya uchanga wa wachezaji..?
Vijana wako talented wanaujua mpira.. kikubwa ni kuwapa muda wakomae.. halafu yanga itie pua kama lazima ile wiki
Mtachafuaje sasa?unampango wa kujamba au?
Yaani we jamaa umempa za chembe sijui kama ataendelea kuropokwaUnaota mkuu,bingwa hajajulikana tayari umetengeneza ratiba na NAOMBA UNIJUZE ILI MKUU NA KTK MICHUANO HYO YA KIMATAIFA SIMBA ATACHEZA NA TIMU ZIPI?
KUNA JAMAA KANIAMBIA KUWA ROUND YA 1 V STAND UTD,KM MTAVUKA MTAKUTANA NA KAGERA NA MKIFANIKIWA BASI MBEYA CITY NDIO UTAKUWA MWISHO WENU.
Ahidi kwamba kuanzia leo hii wewe hautochangia tena mada zinazohusu mpira kwa kuwa mpira haujui wala haufahamuNyumbani mbele ya mkweo maji unaita mmma je kule kwao unategemea nn?
Mpira wa Bongo upo kwenye magazeti ya udaku tu. Mara Simba mara Yanga, uwanjani hamna kitu kabisa, zero.
Hureeeeeeeeeee ban yangu imekwishnei nimerudi kwenye form kama hamisi tambwe sasa
Yaani heading na content tofauti kabisaaa, haviendani hata kidogoo
Siakusoma mheshimiwa.Unaweza kuona alikwenda uwanjani na akakaa jukwaa la waarabu.
Unaota mkuu,bingwa hajajulikana tayari umetengeneza ratiba na NAOMBA UNIJUZE ILI MKUU NA KTK MICHUANO HYO YA KIMATAIFA SIMBA ATACHEZA NA TIMU ZIPI?