Tulichokifanya Simba Jana

Tulichokifanya Simba Jana

Umekula maharage ya wapi ukavimbiwa!!?? Mpira siku zote unaenda kwa statistics.. tuambie age average ya kikosi cha simba ukilinganisha na timu zingine!..

Usiropoke ovyo!!...simba kuna tatizo gani zaidi ya uchanga wa wachezaji..?

Vijana wako talented wanaujua mpira.. kikubwa ni kuwapa muda wakomae.. halafu yanga itie pua kama lazima ile wiki

Hakuna mtoto anayecheza Premier.Ukishakuwa Premier we ni mtu mzima.
 
Ushabiki ukizidi kipimo huwezi kutofautisha reality na matamanio yako. Ratiba ya mwakani Yanga akichukua ubingwa tayari unayo au ndio unaombea Yanga ikutane na timu hizo?

Wekeni nguvu kuhakikisha mnashiriki makombe ya CAF japo kwa mwendo huu ni baada ya miaka mitano ijayo!
 
simba mtazidi kuwa chini daima tuliwapenda ila mbeya city imewapenda zaidi amen.r.i.p simba
 
Unaota mkuu,bingwa hajajulikana tayari umetengeneza ratiba na NAOMBA UNIJUZE ILI MKUU NA KTK MICHUANO HYO YA KIMATAIFA SIMBA ATACHEZA NA TIMU ZIPI?
KUNA JAMAA KANIAMBIA KUWA ROUND YA 1 V STAND UTD,KM MTAVUKA MTAKUTANA NA KAGERA NA MKIFANIKIWA BASI MBEYA CITY NDIO UTAKUWA MWISHO WENU.
Yaani we jamaa umempa za chembe sijui kama ataendelea kuropokwa
 
Nyumbani mbele ya mkweo maji unaita mmma je kule kwao unategemea nn?
Ahidi kwamba kuanzia leo hii wewe hautochangia tena mada zinazohusu mpira kwa kuwa mpira haujui wala haufahamu
 
Simba wafungeni hao mbeya city mpate nafasi ya uwakilishi mwakani.
 
Hureeeeeeeeeee ban yangu imekwishnei nimerudi kwenye form kama hamisi tambwe sasa
 
Yaani heading na content tofauti kabisaaa, haviendani hata kidogoo
 
Kuchezewa kwa Yanga kama watoto wadogo na Etoile ESS hakuondoi ukweli kwamba Simba ni chovu hata hapa nyumbani na haitaweza kushiriki michuano ya CAF mwakani. Vilevile, kufungwa kwa Simba na Mbeya City tena kwa mara ya pili katika msimu huu hakuondoi ukweli kwamba safari ya Yanga iliishia jana na wanaenda Tunisia kupata aibu nyingine kama ile waliyopata Morocco mwaka 1998.

Jambo la msingi ni kila timu katika hizi kongwe kujipanga kila moja kwa level yake mwakani. Simba ijipange kwa ligi ya Bara mwakani na Yanga ijipange kwa ligi ya Bara na CAF Clubs championship mwakani. Kujipanga huku ni kuanzia kusuka vikosi na mabenchi ya ufundi. Hilo kombe la Kagame ni mazoezi tu, lakini ligi zinazolipa kiuchumi ukisonga mbele sana ni za vilabu vya CAF
 
Unaota mkuu,bingwa hajajulikana tayari umetengeneza ratiba na NAOMBA UNIJUZE ILI MKUU NA KTK MICHUANO HYO YA KIMATAIFA SIMBA ATACHEZA NA TIMU ZIPI?
KUNA JAMAA KANIAMBIA KUWA ROUND YA 1 V STAND UTD,KM MTAVUKA MTAKUTANA NA KAGERA NA MKIFANIKIWA BASI MBEYA CITY NDIO UTAKUWA MWISHO WENU.

teeh teeh teeeeh................ hata hiyo raundi ya kwanza hawapiti
 
Unaota mkuu,bingwa hajajulikana tayari umetengeneza ratiba na NAOMBA UNIJUZE ILI MKUU NA KTK MICHUANO HYO YA KIMATAIFA SIMBA ATACHEZA NA TIMU ZIPI?
KUNA JAMAA KANIAMBIA KUWA ROUND YA 1 V STAND UTD,KM MTAVUKA MTAKUTANA NA KAGERA NA MKIFANIKIWA BASI MBEYA CITY NDIO UTAKUWA MWISHO WENU.

teeh teeh teeeeh................ hata hiyo raundi ya kwanza hawapiti
 
Unaota mkuu,bingwa hajajulikana tayari umetengeneza ratiba na NAOMBA UNIJUZE ILI MKUU NA KTK MICHUANO HYO YA KIMATAIFA SIMBA ATACHEZA NA TIMU ZIPI?
KUNA JAMAA KANIAMBIA KUWA ROUND YA 1 V STAND UTD,KM MTAVUKA MTAKUTANA NA KAGERA NA MKIFANIKIWA BASI MBEYA CITY NDIO UTAKUWA MWISHO WENU.

Umekula maharage ya wapi ukavimbiwa!!?? Mpira siku zote unaenda kwa statistics.. tuambie age average ya kikosi cha simba ukilinganisha na timu zingine!..

Usiropoke ovyo!!...simba kuna tatizo gani zaidi ya uchanga wa wachezaji..?

Vijana wako talented wanaujua mpira.. kikubwa ni kuwapa muda wakomae.. halafu yanga itie pua kama lazima ile wiki

sasa kama mliwasajili wachezaji kwa ajili ya misimu mitatu ijayo kwa nini mnawafukuza wachezaji mkidai hawaisaidii timu wakati lengo lenu sio kushindana kwa sasa?
 
Back
Top Bottom