Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

@UMUGHAKA Story nzui ila umejichanganya
Mwanzo ulisema husomi, ni Emma ndio alikuwa anapiga shule,lakini Kuna Sehemu una act kama Dent, na hapo kwenda Advance ndio umekorogaaa
Wapi nimeact kama denti na wapi nimeenda advance?
 
Headmaster kwa baadae alihama ile shule na kuhamia huko Biharamulo ambako amejenga na anaishi hadi leo,mimi niliondoka na kurudi nyumbani kisha kuelekea shuleni Advance!.
 
Story yako Nzuri Mkuu
Ila Contextually, kwenye story ume appear Kama Dogo wa home na Emma dent
Daaaah mkuu,kuna muda huwa nadhani mnasoma kuelewa kumbe huwa mnasoma ili mkomenti wa kwanza sms za kukosoa ili muonekane wajanja.

Mimi nilisema hapo Mwanzo kwamba nilimaliza shule ya sekondari na mwisho nikasema nikaenda kuendelea na masomo ya Advance(Form 5 & 6) it means stori hii ni wakati nikiwa nimemaliza form 4.

Sasa nashindwa kuelewa wewe ambacho hujaelewa ni nini!
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa story nzuri na yenye mafunzo mengi lkn hata mm sijaelewa interval ya kumaliza form four na kwenda advance yaani umesema ulikaa miaka miwili kwa dingi yako mdogo alafu baadae ukaenda advance. Hapo sijaelewa au mzee baba ulirudia shule?
 
Mambo yote si yakusema hapa,wewe fatilia mambo muhimu na ndiyo maana na mimi nimesimulia mambo muhimu tu na mengine nimeachana nayo
 
Daaaah mkuu,kuna muda huwa nadhani mnasoma kuelewa kumbe huwa mnasoma ili mkomenti wa kwanza sms za kukosoa ili muonekane wajanja.

Mimi nilisema hapo Mwanzo kwamba nilimaliza shule ya sekondari na mwisho nikasema nikaenda kuendelea na masomo ya Advance(Form 5 & 6) it means stori hii ni wakati nikiwa nimemaliza form 4.

Sasa nashindwa kuelewa wewe ambacho hujaelewa ni nini!
Kumbukumbu zao ndogo sana mkuu
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa story nzuri na yenye mafunzo mengi lkn hata mm sijaelewa interval ya kumaliza form four na kwenda advance yaani umesema ulikaa miaka miwili kwa dingi yako mdogo alafu baadae ukaenda advance. Hapo sijaelewa au mzee baba ulirudia shule?
Alaa! Kwani kurudia Ni dhambi/kosa, maswali gani hayo.
 
Back
Top Bottom