Headmaster kwa baadae alihama ile shule na kuhamia huko Biharamulo ambako amejenga na anaishi hadi leo,mimi niliondoka na kurudi nyumbani kisha kuelekea shuleni Advance!.Wapi nimeact kama denti na wapi nimeenda advance?
Story yako Nzuri MkuuSasa hapo ambacho hujaelewa nini?
Daaaah mkuu,kuna muda huwa nadhani mnasoma kuelewa kumbe huwa mnasoma ili mkomenti wa kwanza sms za kukosoa ili muonekane wajanja.Story yako Nzuri Mkuu
Ila Contextually, kwenye story ume appear Kama Dogo wa home na Emma dent
Mkuu kwanza nikupongeze kwa story nzuri na yenye mafunzo mengi lkn hata mm sijaelewa interval ya kumaliza form four na kwenda advance yaani umesema ulikaa miaka miwili kwa dingi yako mdogo alafu baadae ukaenda advance. Hapo sijaelewa au mzee baba ulirudia shule?Daaaah mkuu,kuna muda huwa nadhani mnasoma kuelewa kumbe huwa mnasoma ili mkomenti wa kwanza sms za kukosoa ili muonekane wajanja.
Mimi nilisema hapo Mwanzo kwamba nilimaliza shule ya sekondari na mwisho nikasema nikaenda kuendelea na masomo ya Advance(Form 5 & 6) it means stori hii ni wakati nikiwa nimemaliza form 4.
Sasa nashindwa kuelewa wewe ambacho hujaelewa ni nini!
Mambo yote si yakusema hapa,wewe fatilia mambo muhimu na ndiyo maana na mimi nimesimulia mambo muhimu tu na mengine nimeachana nayoMkuu kwanza nikupongeze kwa story nzuri na yenye mafunzo mengi lkn hata mm sijaelewa interval ya kumaliza form four na kwenda advance yaani umesema ulikaa miaka miwili kwa dingi yako mdogo alafu baadae ukaenda advance. Hapo sijaelewa au mzee baba ulirudia shule?
Asante mkuuMambo yote si yakusema hapa,wewe fatilia mambo muhimu na ndiyo maana na mimi nimesimulia mambo muhimu tu na mengine nimeachana nayo
Kumbukumbu zao ndogo sana mkuuDaaaah mkuu,kuna muda huwa nadhani mnasoma kuelewa kumbe huwa mnasoma ili mkomenti wa kwanza sms za kukosoa ili muonekane wajanja.
Mimi nilisema hapo Mwanzo kwamba nilimaliza shule ya sekondari na mwisho nikasema nikaenda kuendelea na masomo ya Advance(Form 5 & 6) it means stori hii ni wakati nikiwa nimemaliza form 4.
Sasa nashindwa kuelewa wewe ambacho hujaelewa ni nini!
Mkuu ile story yako wameifuta au mm ndio sielewiMambo yote si yakusema hapa,wewe fatilia mambo muhimu na ndiyo maana na mimi nimesimulia mambo muhimu tu na mengine nimeachana nayo
IpiMkuu ile story yako wameifuta au mm ndio sielewi
Ya alivyonusurika kifo
Ya alivyonusurika kifo
Siku hizi Kuna wanafunzi wa shule za kata na Udom.Mkuu ile story yako wameifuta au mm ndio sielewi
Alaa! Kwani kurudia Ni dhambi/kosa, maswali gani hayo.Mkuu kwanza nikupongeze kwa story nzuri na yenye mafunzo mengi lkn hata mm sijaelewa interval ya kumaliza form four na kwenda advance yaani umesema ulikaa miaka miwili kwa dingi yako mdogo alafu baadae ukaenda advance. Hapo sijaelewa au mzee baba ulirudia shule?