Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Duuh kweli sio poa 🤣🤣🤣🤣
 
Aise huyu jamaa aliyetoa visa vya mabomu ya gongo la mboto na yeye yupo vizuri sana mkuu.
Alikutana na visanga vya kutisha.
Ile story ni noma.

Usilogwe ukaondoka kwenu ukaenda mkoa usipopajua...

[emoji119][emoji119][emoji119]
Naomba unitag

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Tungekuwa na fikra za kutunza watunzi/waandishi wetu, mtu kama huyu hakupaswa kuishia JF peke yake, ila ndio hivyo tena Unfortunately yupo Afrika, where a pen makes you penniless
 
Tungekuwa na fikra za kutunza watunzi/waandishi wetu, mtu kama huyu hakupaswa kuishia JF peke yake, ila ndio hivyo tena Unfortunately yupo Afrika, where a pen makes you penniless
Anaishia tu kutukanwa na wajinga wajinga..
Poor Tanzania
 
Tungekuwa na fikra za kutunza watunzi/waandishi wetu, mtu kama huyu hakupaswa kuishia JF peke yake, ila ndio hivyo tena Unfortunately yupo Afrika, where a pen makes you penniless
Bitter truth.
 
Hongera mwandishi story nzuri, Mtiririko wa visa na matukio uko vyema. Nimesoma kwa saa 2 na nusu thread yote👏🏿
 
Jombaa achana na hawa watu. Sidhani kama walilazimishwa kuisoma hii simulizi.

Kwanza simulizi ni mbwembwe za mtunzi na jinsi anavyotaman msomaji ajisikie wakati akiwa anasoma. Hawa mbuzi hawaelewi raha ya nadharia zenye tungo kama hii yako... achana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…