Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Ndugu zangu nisameheni sana leo nilikuwa kwenye matatizo ya kifamilia.

Nilienda huku bunju ambako nafanyia shughuli zangu kama kawaida,sasa nikiwa huko nikapigiwa simu na mke wa brother kwamba kuna mgogoro wa kifamilia,sasa nimefika pale nikakuta kuna kashikashi la kufa mtu lilipolekea mimi na brother kutwangana makonde hasa!.

Sasa kwa hasira nilizokuwa nazo nimejikuta hata kuendesha pikipiki kwa umakini nashindwa ikapelekea kupata ajali,ingawa sijaumia sana ila nimepata vimichubuko vya hapa na pale ila pikipiki imeumia!.

Hivyo mniwie radhi ndugu zangu leo imekuwa siku mbaya sana kwangu!.
 
Pole sana
Get well soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu,
 
Pole kwa hiyo changamoto.ila nna uhakika hii simulizi yako ndio umeishia hapa.Ni simulizi nzuri hata hivyo.
 
Ndugu zangu nisameheni sana leo nilikuwa kwenye matatizo ya kifamilia.

Nilienda huku bunju ambako nafanyia shughuli zangu kama kawaida,sasa nikiwa huko nikapigiwa simu na mke wa brother kwamba kuna mgogoro wa kifamilia,sasa nimefika pale nikakuta kuna kashikashi la kufa mtu lilipolekea mimi na brother kutwangana makonde hasa!.

Sasa kwa hasira nilizokuwa nazo nimejikuta hata kuendesha pikipiki kwa umakini nashindwa ikapelekea kupata ajali,ingawa sijaumia sana ila nimepata vimichubuko vya hapa na pale ila pikipiki imeumia!.

Hivyo mniwie radhi ndugu zangu leo imekuwa siku mbaya sana kwangu!.
Pole sana ndg, tunakuombea kwa Mungu ili urudi umalize huu mtanange wa kupooza afya ya akili
 
Ndugu zangu nisameheni sana leo nilikuwa kwenye matatizo ya kifamilia.

Nilienda huku bunju ambako nafanyia shughuli zangu kama kawaida,sasa nikiwa huko nikapigiwa simu na mke wa brother kwamba kuna mgogoro wa kifamilia,sasa nimefika pale nikakuta kuna kashikashi la kufa mtu lilipolekea mimi na brother kutwangana makonde hasa!.

Sasa kwa hasira nilizokuwa nazo nimejikuta hata kuendesha pikipiki kwa umakini nashindwa ikapelekea kupata ajali,ingawa sijaumia sana ila nimepata vimichubuko vya hapa na pale ila pikipiki imeumia!.

Hivyo mniwie radhi ndugu zangu leo imekuwa siku mbaya sana kwangu!.
Pole sana Mkuu
 
Hii nayo ni hadithi nyingine ya kutungwa inayofanana na ukweli
 
Iwe imetungwa ama kweli Ila Stori Kali mno mwamba kongole Kwa uandishi maridadi kabisa

-Konki Mnoo [emoji91][emoji110]-
Mtukutu Mkuu mkuu ngoja waendelee kuamini hivyo,humu ndani siunajua wapumbavu wapo kibao,mimi nitasema kile nilichokipitia miaka kadhaa hapo nyuma nilipoenda kumtembelea Dingi mdogo,sasa kama wanasema natunga ngoja waseme mkuu huwezi kumzuia mtu kusema atakacho!
 
Back
Top Bottom