Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Kaka tunasubili sehemu ya 14
Wadau, mimi niliishia msimuliaji UMUGHAKA alipomalizia kwa kuandika :-
'Basi' Ba' mdogo yeye aliondoka kurudi shule, mimi nikabaki sasa kuchumiwa miwa pamoja na mapapai niliyoambiwa nisubiri ili niende nikauze!'
Sasa jee, baada ya hapo aliendelea kusimulia? Maana, kila nikichungulia sioni mwendelezo!
 
Ngoma kukolea ngoma kunoga!
Hatari sana!!
 
Duuh yaani umeiona Hadi papuchii ya mama mkwe. Vipi mama mkwe nae anachura? Naona ulikuwa makini Sana kuiangalia mizigo ikitetema live, sidhani Kama wanaume ulikuwa ukiwaangalia Mara mbili
 
Punguza uvivu ebu soma utaona miendelezo
 
hata hiki kisa inabidi utengenezee story yake utulutee kwa kina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…