Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Sasa jamaa hata kula hajala kabebwa na Monica. Sijui itakuwaje, halafu Ema kashuhudia mshikaji kapotelea porini na demu wake. Huku mzee Makono napo kapiga biti kali.

Kazi kazi
 
Sasa jamaa hata kula hajala kabebwa na Monica. Sijui itakuwaje, halafu Ema kashuhudia mshikaji kapotelea porini na demu wake. Huku mzee Makono napo kapiga biti kali.

Kazi kazi
Sijui jamaa katusahau!!?
Ushauri: -
Akijitokeza msimuliaji mwingine ambaye anataka kusimulia stori yake, basi aiandike pembeni yote, ndipo ailete hapa. Akifanya hivyo, atakuwa amewasaidia wasomaji kuokoa muda, kwa namna fulani. Binafsi, kila baada ya muda fulani, nashika simu na kuutafuta uzi huu, na kuchungulia kama kuna kipya kilichoongezwa! Yaani, hata shughuri zangu zinaathirika!
 
Hiyo simulizi ya MAMAAKE MAMA naweza kupata link yake mkuu? Au inapatikanaje?
 
Mkuu, hao wanaoshangaa ni wale "Millenial Generation".

Hawajui kwamba miaka ya 1998,1999,2000 mwanzoni hivi primary tulikuwa tunalipa ada, ada yenyewe ilikuwa 2000 tuu kwa mwaka, lakini kuipata ilikuwa kasheshe na watu walikuwa wanamaliza la saba wanadaiwa ada.

Kuna generation vacuum imetokea hapa katikati, vitoto vilivyozaliwa miaka ya 2000 kuna mambo hawayaelewi lakini hawataki kusimuliwa pia kama sisi tulivyokiwa tunasimuliwa pia na mababu zetu kisha kweli tunaamini japo sometimes kamba zilikuwa nyingi.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Nisharudishwa nyumbn mara elf kisa ada daaah ila hpo kwa wazee acha kabsa rest in peace mkuu wangu ametupiga fix nying now ndo nahundua baadhi ya vitu alikua anatupanga.
 
Nahisi sasa inaelekea ukingoni hii story maana star yaani UMUGHAKA na Monica sasa wameiva na kuwa mchuzi mix.

Mchawi mzee makono nae kalianzisha na Umughaka huku Monica kwa usaidizi wa mama yake ambae pia anampenda kijana Umughaka mpenzi wa mwanae ameahidi kumsaidia na kumlinda.

Kinachoenda kumkuta mzee Makono hatokaa akisahau, mark my words. Huyu mzee Makono kawasumbua sana kwa mwalimu mkuu kwani kuna mtoto wake anakitaka au anatoka na ki Monica halafu Ema akaingilia akaning'inizwa. Kisha UMUGHAKA nae kaingilia kashikishwa kalio la mama mdogo. Sasa Monica kaingia mzimamzima kupambana na mzee Makono🀣. Tusubiri na tushudie hadi mwisho.

Huu ni uchambuzi wa yaliyopita na yajayo
 
[emoji1483]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…