Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Kutoa matunzo kwa mwanamke ni heshima kwa mwanaume. Wewe unapenda mademu wa kudandia kama daldala mnalipa jero jero.

Usilinganishe wapiga vibomu na huduma. Ukiona kibomu kimbia
 
Inaendelea

Basi baada ya kupewa ulinzi na mama monica nikaanza kujihisi tofauti naona kama nina nguvu za ziada nilikua najiuliza ni kitu gani hiki

Huwezi amini nikawa naweza kubeba miwa kutoka lamboni mpaka senta kwa mkono mmoja bila kuchoka na pale mwembeni nikawa napita kama kwangu tu

Miwa nikawa nauza sana yani Namaliza miwa yote ndani ya dakika 20 tu mpaka wateja wanalalamika

Haikuishia hapo,si mnakumbuka mama mdogo alikua analeta nyodo pale nyumbani anatulisha dagaa halafu yeye anakula kuku na mumewe,cha kushangaza mama mdogo alibadilika sana akawa ananipikia kuku,yani hadi nguo zangu akawa ananifulia namshukuru sana mama monica
 
Huwezi kataa kipigwa chale kama hujajua madhara yake. Na hata kama unajua kama umeridhia hakuna tatizo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kyma wewe.
Nimecheka sana
 
Mh noma noma tunaingojea ya 18
 
Kwa sisi tuliopo kanda ya ziwa na ni wajasiliamali lazima kwa mganga uende tu hata kama hutaki bila hivyo biashara haziendi
HV Ni kweli hi kitu mnk nimesikia muda mrefu mno wenzetu hamuwezi fanya biashara bila kupitapita kwa waganga duh hatari hi Sasa nitatoboaje mm nikiwa siamini ushirikina

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo mganga nimependa buree

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Anakupikia kuku, kisha yeye, mwalimu mkuu na Emma wanakula dagan na tembele
 
Great..life hili ni balaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…