Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Pale kwenye kuelezea Monica umesema sura tu inambeba

Ulimaanisha ilimbeba kumfanya aonekane mkubwa huku ni mdogo au ilimfanya aonekane mzuri?

Najiuliza sababu ulisema sura yake ya baba ila kajaaliwa tako tu
Unasomea macho ama unasomea masaburi mkuu?
 
Hapo pa kupigwa viboko assembly na wewe si mwanafunzi utunzi wako haujaenda sawa. HAIWEZEKANI. unapotunga jaribu kuwa makini sana ili usitoke sana mbali ya Uhalisia. Haijawahi tokea kosa la nyumbani mtu akaadhibiwe Shuleni tena si mwanafunzi. Hapo uwe makini.
Aaah wee cc watt wa walim wanoko tumepgwa San mamb ya nymbn unapgw shulen na mambo ya shule unapgw hom mshua alkuw anafundsh math form3 aksahsha pale hom below 50 nakula fimbo school nako naungan na wenzangu pia au cku hom nmechelew kurud night tunakutana shule nakula stick zang naingia class
 
Hapo pa kupigwa viboko assembly na wewe si mwanafunzi utunzi wako haujaenda sawa. HAIWEZEKANI. unapotunga jaribu kuwa makini sana ili usitoke sana mbali ya Uhalisia. Haijawahi tokea kosa la nyumbani mtu akaadhibiwe Shuleni tena si mwanafunzi. Hapo uwe makini.
mkuu nakusihi uwe unajipima kabla hujafungua mdomo wako kubishana mbele ya wanaume.

watu tumekula fimbo kutoka Kwa watu Baki kabisa majilani wapita njia na hata dada zetu.

Mimi Kuna siku enzi hizo nilileta ujinga shuleni nikapewa adhabu ya kupiga magoti kwenye changalawe Kwa masaa mawili Ile hayajaisha mzazi wangu akawa anakatiza akaniona ikibidi aende ofisini Kwa MWALIMU kuulizia sababu alipoambiwa TU nikiona anakuja na bonge la viboko nilizilamba hapo hapo za kutosha akaongeza lisaa lingine la kwake nje na Yale niliyopewa.

sikuenda shule wiki mbili na nilirudishwa nyumbani Kwa baiskeli na hakuna alitejali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hujaandika uwe unasoma ukaelewa. Inaonekana hukuwa na akili au uelewa ndo maana unabisha na kutoa mifano ambayo haiendani. Jifunze to be calm. read,understand and then answer accordingly.

You , teenagers nowdays dont take time to think before doing anything. Look before you leap.
 
Hiyo ni case tofauti. Wabongo huwa hawajui hata ku reason wanakurupuka sana.

Hakuna Mkuu wa Shule ambaye ataleta kesi ya mwanaye ambaye hasomi shuleni tena assembly kushirikisha wanafunzi.hakuna. msiogope kukosoa kwa kuwa jamaa atasusa kuleta story.

Hawezi susa. Sema mtamsaidia anapotunga awe anazingatia uhalisia. Msiwe waoga kwa vitu vya kipuuzi.
Mkuu unajifanya mjuaji kwa vyote ilihali hujui. Mimi ni mtoto wa Mwalimu mkuu,nimetandikwa mara kibao tu kwa makosa ya Nyumbani nikiwa Shule! Au makosa ya Shule nachapiwa Nyumbani. Nadhani kama tungekuwa tunatumia uhalisia wa majina Yetu,kuna Watu ninaofahamiana nao wangethibitisha. Siku zote usijifungie Katika kuamini,ulimwengu Huu ni mpana na una mambo mengi,yale unayoyaona Kwako hayawezekani si kwa wote!! Tukiamua tulete shuhuda zetu mbalimbali Katika Jamii Zetu nadhani utaona watu wanatunga!!
 
Huwa nawashangaa vijana wanalalamikia story utazani hawana kazi za kufanya,mi nikikuta story nasoma mtunzi asipoweka nakausha siku nikiikuta nasoma tena ,asipoiweka muda mrefu naisahau kama kulikuwa na story nafatilia maendelea kuperuzi vingine
 
Mkuu unajifanya mjuaji kwa vyote ilihali hujui. Mimi ni mtoto wa Mwalimu mkuu,nimetandikwa mara kibao tu kwa makosa ya Nyumbani nikiwa Shule! Au makosa ya Shule nachapiwa Nyumbani. Nadhani kama tungekuwa tunatumia uhalisia wa majina Yetu,kuna Watu ninaofahamiana nao wangethibitisha. Siku zote usijifungie Katika kuamini,ulimwengu Huu ni mpana na una mambo mengi,yale unayoyaona Kwako hayawezekani si kwa wote!! Tukiamua tulete shuhuda zetu mbalimbali Katika Jamii Zetu nadhani utaona watu wanatunga!!
Basi mzazi wako hakuwa na akili. Yaani umwage mboga nyumbani (mfano) aje akichape assembly? Hakuwa na akili inawezekana aliathiriwa na Bhangi au Pombe. It doesnt make sense.

Lakini mbaya zaidi kama wewe si Mwanafunzi ukosee nyumbani akuite assembly akuchape. Hivi ninyi mnaelewa hoja yangu au mnatajipendekeza tu mkidhani jamaa atasusa kuandika hizi stories? Tumieni akili bwana msiwe wavivu
 
Basi mzazi wako hakuwa na akili. Yaani umwage mboga nyumbani (mfano) aje akichape assembly? Hakuwa na akili inawezekana aliathiriwa na Bhangi au Pombe. It doesnt make sense. Lakini mbaya zaidi kama wewe si Mwanafunzi ukosee nyumbani akuite assembly akuchape. Hivi ninyi mnaelewa hoja yangu au mnatajipendekeza tu mkidhani jamaa atasusa kuandika hizi stories? Tumieni akili bwana msiwe wavivu
Wewe jamaa ni MPUMBAVU MBOBEVU.
 
Back
Top Bottom