Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe


.
 
Uko mjini mnapakatwa na panya road wakuu
 
Najiweza mkuu.
Asante
Pamoja na kujiweza mkuu,lakini sio vzr mkutane halaf kila MTU ajilipie kinywaj chake,inatakiwa mmoja alipe mwingine atulie,kwa sfr hii kura ya malipo imeangukia kwa mtt mzr goroko77 ,kaa kwa kutulia mkuu ununuliwe😂😂,ww ni till next time mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…