Ivi kuna jamaa wanabisha kuhusu mwalimu kumchapa mwanae shuleni mnashangaza mtakua mmelelewa na wazee warembo sana mimi na chama langu nakumbuka tulipigwa fimbo za kutosha na baba wa rafiki angu mmoja na hatukua wanafunzi yani chai ilitembea siku ile tunaulizwa tuwapeleke polisi au tumalizane apa apa? Watu tukaona tumalizane tu pale school na msala ulikua wakitaa
Mmenikumbusha mbali sana aise tulichezea fimbo mpaka kuna time unaona haziumi ilikua ni mbele ya wanafunzi wote
Uzuri wa lile tukio nilitafuna mabinti wawili kwa huruma zao kuja kunipa pole... Ujanja wote tulishindwa kukimbia lile tukio sijui yule headmaster alituroga
..R.I.P teacher tumebaki tukisimuliana tu lile tukio