Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Uzuri ni kuwa humlipi,humchangii bando,hujui maisha yake hivo si vema kuanza kumsema vibaya ni vema ukashukuru kwa kidogo unachokipata.....sisi wanadamu ni wazuri wa kuona makosa tu lakini mafanikio hatuyazungumziii hivo msimpangie mleta uzi huu
Pamoja na yote hayo lakini usilete kitu ambacho huwezi kukileta. Don't hunt something you can not kill
 
JAMANI LEO WATEJA NI WENGI SANA.

ILA NIMEPATA MATATIZO KIDOGO HIVYO IMENIBIDI NIENDE SHAMBANI BAGAMOYO MAANA KUNA MGOGORO WA ARDHI.

HALFU NIKIRUDI ARSENAL ANACHEZA SIDHANI KAMA NITAKUWA N AMIDA WA KUTOA SEHEMU INAYOFUTA.

ILA MONICA NA NDIYE MKE WANGU KWA SASA NA TUNASALI KWA MWAMPOSA BAADA YA UCHAWI KUISHA.

BABA MDOGO ALIHAMA SHULE..EMMA ANAUZA JUISI KARIAKOO SHULE ALIFELI NA MWISE SIJUI HATA YUKO WAPI DEBORA ANA WATOTO WANNE KWA SASA
 
Wazee kumbe time travel ipo

Leo umughaka amelogwa na mzee mkono simu aliyotextia hadithi imepotea ......so stori ya umughaka haitakuwepo Hadi anunue simu nyingine


Uchawi uliotumika

Umughaka asimulia tukio amesema uchawi uliotumika Ni " future of the past wizard"

Nb: Kama unaweza jisimulie mwenyewe coz Kama nilivyosema mwanzo......usinichoshe tusichoshane
 
Ivi kuna jamaa wanabisha kuhusu mwalimu kumchapa mwanae shuleni mnashangaza mtakua mmelelewa na wazee warembo sana mimi na chama langu nakumbuka tulipigwa fimbo za kutosha na baba wa rafiki angu mmoja na hatukua wanafunzi yani chai ilitembea siku ile tunaulizwa tuwapeleke polisi au tumalizane apa apa? Watu tukaona tumalizane tu pale school na msala ulikua wakitaa

Mmenikumbusha mbali sana aise tulichezea fimbo mpaka kuna time unaona haziumi ilikua ni mbele ya wanafunzi wote

Uzuri wa lile tukio nilitafuna mabinti wawili kwa huruma zao kuja kunipa pole... Ujanja wote tulishindwa kukimbia lile tukio sijui yule headmaster alituroga
..R.I.P teacher tumebaki tukisimuliana tu lile tukio
Mimi nikikuwa nakula mtoto wa ticha mkuu basi siku lilipobumburuka mimi nikakimbilia ka sister kijiji kingine huku nyuma ticha akamchapa mwanae Assembly
 
Back
Top Bottom