Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Mkuu bado hujatoka? Haya mambo ya kulipiana mwanzoni sio sawa.
Akilipa unamwambia ...no thank you ntalipa usijali.
Hadi mfahamiane vyema na kusudi la kufahamiana kwenu liwe wazi.

Hii kudandia dandia unaweza kukuta unalainishwa moyo taratibu...mwishowe unaingia kingi.
Kuwa mwanaume na usionyeshe udhaifu wowote
 
Jitahidi tu jaman,mzamie DM atakuelewa😂😂,DM ndo mwisho wa matatizo,huwaga haturuki 😂😂
Dm Hapana akimaliza kucheki gemu akuje tunamsubiri tu sie ilimradi asituache arosto sana!
 
Kila siku episode moja..this is dope.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umaghaka na uchawi wake kashatuloga yani kila mda tunapita kuona kama kapost uchawi n noma

Umaghaka na uchawi wake kashatuloga yani kila mda tunapita kuona kama kapost uchawi n noma 🤣🤣🤣
Huyu jamaa nashangaa nachungulia Kila muda humu kama ametupia lkn hola sijui kwakua anafahamu tunacho kiwaza ama Nini?
 
Wakuu nipo kijiweni,kuna muda naamua kuangalia tu comments za wadau,marafiki na ndugu zangu wa JF nabaki kufurahi tu[emoji23][emoji23].

Yaani kama unahasira za kijinga JF haikufai maana unaweza mrushia mtu ngumi ingawaje niya upepo[emoji23][emoji23][emoji23].

Humu kuna watu wanakera

Humu kuna watu wanaudhi

Humu kuna watu wanachukiza

Humu kuna watu wanafurahisha

Humu kuna watu wanajua kila kitu.


Yaani ukitaka kupata raha na karaha wewe tembelea JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

All in All nawependa sana ndugu zangu na tuonane muda si mrefu!
 
sawa mkuu.


endelea....
 
Dj leta maneno
 
Mlete shemu Monica mkuu🤣🤣
 
Haina noma mkuu,hata ukileta week ijayo tutakusubiria tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…