Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Teh! Teh! Teh! Teh!
Umenikumbusha mwaka 1999 October, tupo kwenye maombolezo ya Mwalimu Nyerere. Wakati huo, watu wenye TV walikuwa ni wachache sana.

Sasa, nipo Shinyanga, kwenye baa moja, maeneo ya Stand mpya hapo SHY mjini. Kwenye baa hiyo, Ilikuwa inatolewa TV nje, na watu wanajaa kufuatilia matangazo live yaliyokuwa yanarushwa,yakihusu hicho kifo cha Nyerere, hata njia ya wateja kuingia ndani, haipo. Ilikuwa ni saa 12 jioni, mwenye hiyo baa alikuja hapo, na kutaka aingie ndani, lakini hakuna njia ya kupita. Akaomba watu wampishe apite, lakini ikawa kama hajasikika.

Wengine wakawa wanamrushia maneno ya kejeri, na kudai wao wanafuatilia jambo la muhimu, na wakiwa na majonzi, halafu yeye anataka kuwasumbua! Akamuita muhudumu mmoja, na kumuamrisha aizime hiyo TV.

Kabla hajafanya chochote, sauti za kumuonya zilivuma hapo, na kunywea. Akaanza kutishwa hata tajiri mwenyewe, na kuamua kuondoka.
Hao watazamaji, siku hiyo ndiyo ilikuwa mwisho kuja hapo, kwani, haikutolewa tena nje ile TV.

Kwa hiyo mkuu UMUGHAKA ,waaalaaa usijali na hayo maudhi. Si hapa JF tu kuna ambao hatuna shukrani, bali ndiyo tabia za binadamu zilivyo! Endelea kupoteza muda wako, kwa ajili ya kutuburudisha nduguzo!
 
Weka story yako fupi ukurasa mmoja
 
Wapige ngumi ya INDOIGE,ngumi inayokata kona,kulia anayo kushoto anayo, yan ni PUH! PUH! PUH! AMEKAA
 
Mm nawamudu wote nitawapiga vinywaji full doz just arrange 😎
 
KKwa
Kwa hyo niny Bado mnakazana Kuja kunilipia mm kinywaji kweli ,HV machalii wa R jmn ,ninyi njooni tu fresh tutapamban kile kilichopo .karibuni San burka estate wakuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…