Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Hapa naweza kukaa siku tatu, nne sijafungua huu uzi, nikija nakuta za kutosha, so huwezi kunikuta nalalamika alosto ya story
Sahih kbsa na watu wanalialia [emoji25][emoji25] machozi kabisa na kamasi zinawashuka eti kumuomba muendelezo mtu ambaye nae anashughuli zake za kufanya bado watu wanamsumbua sioni sababu kulia mnk ukiwambia tu watoa buku buku wote watatoka nduki hatari
 
Hakuna

Mtu wa kumpangia kwani aliamua yeye mwenyewe kuileta hapa, lakini hata huduma ya bure inabidi uitoe bila kunyanyasa watu na kama hutaki basi usitoe hiyo huduma wala hakuna wa kukulazimisha ila siyo unatoa huku inavisababu kibao
[emoji2][emoji2]Ndiyo aliamua mwenyewe kuileta .....kuna msemo unasema "there is no gain without pain " stori za kina shigongo zinachukua mpaka wiki mbona hulalamiki.... naamin ww imekukera lakini tambua kuandika kunachukua mda (kama kusoma mara 3 hivi ) uandike ,u edit ,upitie tena yaaan bado nakusisitiza shukuru kwa kidogo unachokipata angeamua kuweka hela Wana jf wengi tusengejifunza mikasa ya headmaster n.k
*UZI KAMA UMEKUSHINDA FWATILIA NYUZI NYINGINE *
 
Monica kama Monica
 
Kwa hyo leo ujafanya kazi yoyote mkuu ulikuwa unasoma hbr za umughaka tu uko vzr [emoji3][emoji3]

Mim nitamuomba umughaka anipe hiki kiss Chake Kisha nizalishe kitabu kwa lugha ya kingereza nikawauzie wazungu nitapiga hell mbaya mbovu
Hakika break ya Nyerere day imeenda vyema kabisa. Yaani imekuwa monica day, nilianza na mada ya mshana jr anamuongelea monica wa masanja. Ule uzi ndiyo nikapata info kuwa kuna monica wa umughaka, ambaye hata wa masanja hafuati. Nikaja mazima
 
Hatimaye, shukrani mkuu kwa mkasa wa kusisimua
 
Kielimu uliishia level ipi?
 
This is outstanding, safiii imeisha poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…