mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
Hivi ukiamua kuitoa Magazine nje alafu ukapiga mbonji Kuna shida?😂😂😂 Hapana Mkuu, nasoma huku SMG nimeikumbatia kama dem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukiamua kuitoa Magazine nje alafu ukapiga mbonji Kuna shida?😂😂😂 Hapana Mkuu, nasoma huku SMG nimeikumbatia kama dem
Pisi ya kwendaMonica UmughakaView attachment 2386631
Sh 10 tu ingekuwa zaidi ya 2mlSahih kbsa watu laki 2 ++ wanafatilia story hi imaging tukampa buku buku tu shilingapi hapa angebeba[emoji3] hat Kaz za pikipiki angetupa kule
yani kuitenganisha na silaha au kuitoa nje kivipi?Hivi ukiamua kuitoa Magazine nje alafu ukapiga mbonji Kuna shida?
Mihogo michugu(lumala) hii mihogo isikie tu umenirudisha mbali sana mzee UMUGHAKA
Hii stori ni maisha halisi kabisa ya vijiji vya usukumani kwa kipindi kile![emoji3]
sura hii halafu matako Hana????Monica UmughakaView attachment 2386631
ndio maana nikasema kurasa 4 sio 1...watu kama nyie ndio mandonga kawaletea ngumi ya kigeni ya ndoiga.Weka story yako fupi ukurasa mmoja
Bangi za chuga hizi😄😄😄Oyaa malizia chapu asi apo kila mtu apite ivi na mambo ake asee