Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Goma kila ukiliperuz utamu unazidi kuongezeka shusha mavitu poti
 
Lakujifunza kubwa hapa JF kwamba story ya kweli huoni mtu akiomba hela ili aendelee kuandika. UMUGHAKA wakorabhuya tata!...bado kuna wajinga wanasema Tutor elimu mbovu!

Hebu ona huyu bwana anavyo narrate story ya maisha yake kama mPhD!
 
Kesho na Mimi nitaanza kusimulia kisa changu cha kukutana na SHAN bint SADIKI (Jini lenye uzuri wa ajabu) hii ni story ya kweli ilinitokea mwishoni mwa miaka ya tisini na nikawa huru 2006

Nawahaidi kuimaliza yote ndani ya siku nne tu

Asanteni
Ukianzisha fanya kunitag
 
UMUGHAKA ntakuwa mchoyo nisipokusifia kuwa wewe ni mtunzi mzuri, hadithi ni nzuri mno na usimuliaji wako umeendana mazingira halisi, hongera.....
Mkuu amadala Ahsante kwa kushukuru mkuu,haya ni maisha mkuu ambayo wengine tulipitia,hivyo nami pia nilijifunza aina hiyo ya maisha na kunikomaza,pengine nisingeenda huko Bush nisingekuwa kuwa hivi nilivyo leo!
 
Lakujifunza kubwa hapa JF kwamba story ya kweli huoni mtu akiomba hela ili aendelee kuandika. UMUGHAKA wakorabhuya tata!...bado kuna wajinga wanasema Tutor elimu mbovu!

Hebu ona huyu bwana anavyo narrate story ya maisha yake kama mPhD!
Mkuu Mhadzabe Tunafanya kwa ajili ya watu mkuu ili wajifunze,hela kwangu huwa si kipaumbele japo pia ninazihitaji ili kufanikisha vipaumbele vyangu!
 
Kuandika simulizi siyo jambo rahisi kama inavyochukuliwa...

Jaribu tu kuandika 'episode' moja tu simulizi kama za humu JF, hata kwa kunakili, utajuwa ugumu uliopo (hususani kwenye kuchukuwa muda)

Katikati ya simulizi, ni kawaida kwa JF members ku support kwa namna tofauti ikiwemo LIKE, KURA, maneno ya kutia moyo au maneno ya kuudhi au kukatisha tamaa, yote hiyo ni kama kuchangamsha baraza, sidhani kama kuna watu wanakuwa 'serious' kihivyo.

Lakini pia kuna hawa 'much know', hahahha!

Nakupa Kongole sana kwa simulizi nzuri ya kusisimua.

Umetumia mtindo wa mtiririko wa moja kwa moja ambao wasomaji wengi hupenda na kusimulia katika nafsi ya kwanza.

Binafsi nimeifuatilia mwanzo mwisho hasa baada ya mdau Sierra One kuweka links vizuri na kurahisisha ufuatiliaji.

Ninajuwa fika kuna mengi hujaandika, labda kwa kutaka kufupisha ili iishe mapema, au (na) kubanwa na majukumu mengine ya kila siku. "Tumejazia wenyewe hayo mengine"

Bila shaka 'codes' zilikuwa sawasawa.

Kongole kwako UMUGHAKA
 
Bibi Nyanjige anatuma jeshi la nyuki tu haangaiki na mtu[emoji3]
 
Umetishaaaa
 
ASANTE SANA Umughaka kwa uhondo huu.
 
Asante kwa ctory nzuri👏👏
 
Cc: Depal
 
Hongera kaka kwa simulizi nzuri kabisa!!! Nimeifuatilia yote mwanzo mpaka mwisho ,nikiri kuwa una kipaji cha utunzi na uandishi wa hadith.

Story kama hii angeipata king of horror movies, James Wan .Hakika angetoa movie moja ya kutisha sana kama alivyofanya kwenye the conjuring series, The Nun 1& 2,Annabelle,The insidious series ,The curse of Llarona n.k

Africa kuna story nyingi za kutisha na waandishi wazuri tu ila hakuna ule uwezo wa kuzitoa hizi story kwenda kwenye movie.Wazungu wanapiga mabilioni ya pesa kupitia utunzi wa stories na hizo horror movies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…