KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,165
- 1,906
Wewe ndo KIT MOTO kabisaaaaaaaaaaaAcha ujinga.Unasimulia mambo mengi ya kulakula tu.Halafu kutudanganya kwamba kiingilio cha kutazama video ilikuwa Tsh 100/= umeona hatuna akili?Shule za kata zimeanza mwaka 2006 kujengwa.Tsh 100/= ilikuwa na thamani hiyo?Acha ungedere.
Mi nimehitimu FM4 shule ya Kata mwaka 2005 leo unasema zimeanza 2006????
Anyway, single mother wengi wamejaa Stress tupu