Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Na kwa kuongezea kijijini kwetu hiyo 100 walikuwa wanalipa watu wazima ila madogo janja ilikuwa ni sh 50
 
Ulipotaja Nyandira ukanikumbusha ukweni huko. Nilimpenda sana yule mtoto wa kirugulu ila alipoenda Arusha Technical jamaa wakamuingiza na kumfundisha ujanja wa mjini. Mitaa yote hiyo ya Nyandira na Lolo ni mitaa yangu ya kujidai.
Nilikuwa nikienda kufuata mbogamboga na rafiki yamgu Banzi.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Leo ndio nmeimaliza hii story..hakika unastahili tuzo ya usimuliaje.
#MaendeleoHayanaChama
 
Nilikuwa nikienda kufuata mbogamboga na rafiki yamgu Banzi.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Pale UMADEP unapafahamu? Niliendaga na jamaa zetu field huko, jamaa alikuwa muislam answar sunna na pale Nyandira kuna mtaa wanachoma nyama ya Kitimoto barabarani na hakuna njia nyingine jamaa akawa anabana pumzi pale tokana na moshi wa kitimoto uliokuwa unatimuka.
 
Mkuu Komeo Lachuma ni wapi nimesema hii ni stori ya kweli?,hii nimetunga kaka ili kupoteza muda tu![emoji23][emoji23]
Mkuu salute kwako hata kama ni story ya kutunga huu utunzi ni kipaji,uandishi wako ni ishara tosha kua hukufika form 6 kwa tia maji tia maji...Anyways naamin utakua unapafahamu Kemange (Nimesoma hapo std 1) na nna washikaji kibao walisoma hapo Rebu sec baadae tukasoma nao high school Kagera.... One love
 
Wewe ndio hujui ku reason ila unajitia mjuaji balaa..
Hiyo shule ilivyokuwa ikiendeshwa ilikuwa tofauti na shule nyingine, head master kuletewa vyakula na wanakijiji, wanafunzi wachache, kukaa vikao vya kujadili uchawi n.k hivyo vinakupa picha tu kuwa walikuwa na utamaduni wa tofauti na shule nyingi za kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…