Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,066
Hii katupunjaaaa ... imenoga sana ila fupiiiTaabu inakuja kusubiri tena kinachoendelea! Sijui ndiyo mpaka keshoooo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii katupunjaaaa ... imenoga sana ila fupiiiTaabu inakuja kusubiri tena kinachoendelea! Sijui ndiyo mpaka keshoooo!
Hili movie litaisha mughaka n mchawiiMonnie anaeat meat kule kwa miembee [emoji16]
Huu hapa broWanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyogandaNaomba link ya huo wa quran, nipm mkuu
Sidhani ,
Shule jirani na iborogelo au wapi?
Itapendeza sana 😅Kabisa. Ninakuja kesho na gari za IT au za magazeti mapema sana niko hapo. Kabla haujaamka.
Tumedinya sana watoto wa kalobe sec pale uboyizini.Watu wa Kalobe utawajua tu
Jirani na Igogo[emoji4]
Mzee syo Siri Una moyo Mimi isingesimamaTulichomfanya Yule Mchawi hatokuja kusahau kamwe! - 14.
Kila mcheza ngoma alisimama ghafla na kumtizama yule mzee ambaye ilionekana kabisa alikuwa kiongozi wao.Baada ya hapo alinyoosha mkono juu akiwa ameshika usinga(mkia wa mnyama)ambao sikuweza kufahamu ulikuwa wa mnyama pori au mnyama wa kufugwa!.
Alipoteremsha mkono chini niliona watu wote wameweka mikono mbele kuonyesha unyenyekevu huku vichwa vikitazama chini.Sasa yule mzee alianza kuongea kwa sauti kubwa mno!.
Mzee alisema "Ng'wana Charles"
Aliendelea "Ng'wana ndekeja"
Baada ya kusema hivyo nikaona ananyoosha usinga kuwapa ishara hao aliowaita wasogee mbele,sasa nikaona wazee wawili wamesogea mbele huku wakiwa wameinamisha nyuso chini na mikono imewekwa mbele kuashiria unyenyekevu wa hali ya juu!.
Mzee akasema "Ng'wenagi umnho ng'wenuyo aha"
Basi wale wazee waliondoka na kuingia kwenye ile nyumba ya mama yake Monica,hawakuchukua muda wakawa wametoka ndani huku wakiwa wamembeba mtu ambaye sikumuona kwa haraka,sasa baada ya kumfikisha yule mtu na kumbwaga pale kando ya ule moto ndipo nikamuona vizuri nikawa nimemtambua!,alikuwa ni mzee ambaye alijinasibu ni mganga aliyekuja pale nyumbani kuweka zindiko na kutupiga chale za kutosha!.
Basi yule mzee ambaye ilionekana ndiye mkubwa pale akawa toa amri tena ya kuanza kupiga ngoma na kucheza!,sasa wakati wanacheza kwa kuzunguka ule moto,akajitokeza mama mmoja ambaye alikuwa amejifunga shanga kiunoni na kiremba cheusi kichwani huku mkononi akiwa ameshika kisu!,sasa akamsogelea yule mzee ambaye alikuwa akishanga shangaa kama tahira pale chini,yule mama akafika akamkamata kichwa akaanza kumyoa nywele!.
Wakati mambo yote hayo yanaendelea,mimi na Monica tupo tunachungulia kwenye ule upenyo wa mlango na Monica alinizuia kabisa kutopiga kelele!.
Sasa baada ya lile tukio la kumnyoa yule mzee nywele kukamilika,yule mama alichukua zile nywele akaziweka kwenye kitu kama sahani halafu akamkabidhi yule ambaye alionekana ni kiongozi,sasa wakati anamkabidhi kama kawaida uso uliinama chini kuashiria unyenyekevu!.Baada ya hapo yule mama akaanza kumvua yule mzee nguo zake zote!,alipomaliza aliinama chini kwenye akachukua vitu ambavyo sikuvifahamu akaanza kumpaka yule mzee!.Baada ya kumaliza lile tukio la kumpaka yule mzee vitu visisvyo julikana,akaondoka kinyume nyume kurudi kwenye mstari kuuungana na wenzie kuendelea kucheza ngoma.
Sasa haukupita muda yule mzee tena akatoa ishara ile ngoma ikasitishwa!,baada ya hapo ilikuwa kitendo cha kufumba na kufumbua wakawa wametoweka pale kwenye lile eneo na ghafla kukawa na giza kuu!,nilitaka kufahamu kiliendelea nini na hivyo ikabidi nimuulize Monica.
Mimi "Mbona hawaonekani?"
Monica "Unataka nikupeleke walipoelekea?"
Mimi "Hapana"
Monica "Nakupenda wewe sana ndiyo maana nimekuleta ujionee mwenyewe"
Monica "Mimi nitakulinda wala usiogope"
Aliendelea kusema "Wameelekea kwenye sherehe za kula nyama"
Monica "Ile miembe miwili mikubwa ya kwenye ile njia ambayo tumekutana si unaikumbuka?"
Mimi "Ndiyo"
Monica "Ndo wako hapo"
Mimi "Sasa hapa wameondokaje?"
Monica "wewe bado mdogo ukikuwa utaacha kuuliza uliza maswali"
Sasa nilikuwa nashangaa binti anayeniambia mimi mdogo nabaki kumshangaa kwasababu ulikuwa ukiniangalia mimi na yeye utajua kabisa yeye ndiye mdogo!.
Monica "Halafu wewe una mizimu mikali sana ndiyo maana nataka uwe mume wangu"
Mimi "Mizimu mikali?,mizimu mikali kivipi?"
Monica "Umekuwa ukiwasumbua sana wanapokuwa wakila nyama zao"
Nikashituka sana nikabaki nashangaa mle ndani ambako mpaka muda huo kulikuwa na giza totoro!.
Monica "Unakumbuka siku unapita pale kwenye miembe usiku uliona nini?"
Mimi "Nakumbuka kuna siku nilikuwa natoka senta kuangalia mpira nikaona moto unawaka kwenye ile miembe"
Monica "Achana na mambo ya moto,wewe hukuwahi kuona mtu pale?"
Aisee,sasa nikawa najiuliza huyu binti matukio yote hayo yeye alionaje?,kiukweli nilianza kuingia uoga ila akawa ananisihi ya kwamba nisiogope na yeye yupo kwa ajili ya kunisaidia!.
Monica "Yule mtu uliyemuona siku ile aliliwa nyama,sasa wewe umekuwa ukiwasumbua kupita ile njia kwasababu hakuna mtu anayepita ile njia usiku kama ule".
Aliendelea kusema "Kwa ujasiri ulionao waliona wakujaribu kuona kama unawaona na ndiyo maana walikutega na kukutisha na ulivyotishika na kukimbia wakaona kumbe huna lolote"
Mimi "Sasa nawatesaje?"
Monica "Pale kwenu ni wewe ndiye ambaye huwezekaniki na sijui kwanini,wewe unanyota nzuri mno"
Mimi "Yule mganga amefanya kosa gani"
Monica "Yule ni mjeuri,anaenda kuliwa nyama".
Akaendelea kusema "Kuna siku mama yangu alienda kusenya kuni na mlikutana njiani ukamsaidia zile kuni,hivyo mama yangu akakupenda sana"
Mimi "Mbona sikumbuki siku ambayo nimebeba kuni za mama yako?"
Monica "Wewe bado mtoto mdogo nimekwambia acha maswali utaelewa tu".
Kiukweli nilikuwa ninawaza na kujiuliza sana lakini nakosa majibu!,ndipo sasa nikajua uenda matukio mengi pale nyumbani yalikuwa yanasababishwa na hilo kosi hatari lilikuwa likicheza ngoma,sikutaka kumwambia mama yake ni mchawi ingawa nilimshuhudia kwa macho yangu,nilidhani uenda ningemwambia kuhusu mama yake angenibadirikia mle ndani na nikaipata freshi,sikutaka kabisa kutengeneza matatizo!.
Baada ya maongezi ya muda mrefu mizagamuano ikachukua nafasi!,sasa nikawa nimemwambia Monica inapaswa baada ya mizagamuano ikifika saa 10 usiku anisindikize kurudi nyumbani ili asije akajua mtu yeyote kwamba nilitoka usiku.
Monica "Nalekotogwa natokoreka"
Mimi "Ndiyo nini?"
Monica "Wewe naye,utajifunza lini kisukuma!"
Monica "Nakwambia nakupenda na sitokuacha"
Basi sikutaka kumjibu na mimi akili yangu haikuwa kwake kabisa,kilichokuwa kinanipeleka kwake ni kumpatia maji ya uzima wa milele abdala kichwa wazi ili asihangaike na kiu.
Basi baada ya kasi ya mizagamuano ni kama Monica alipitiwa na usingizi,mimi sikuweza kabisa kupata usingizi kwasababu ya kile nilichokuwa nimetoka kukishuhudia pale!.
Sasa baada ya muda kupita nikiwa natafakari huku usingizi ukianza kunipitia,ghafla nikasikia kishindo kikubwa nyuma ya ile nyumba tulimolala!,sasa nikajaribu kupeleka mkono ili nimpapase Monica ashituke ili na yeye asikie lakini hakukuwa na mtu kwenye godoro!.
Nilikurupuka nikaanza kupiga kelele za uoga kama mwehu!
Aisee, story inasisimua sana.Tulichomfanya Yule Mchawi hatokuja kusahau kamwe! - 14.