A
Anonymous
Guest
Mimi ni Afisa Tabibu (Clinical Officer) nilihitimu chuo Mwaka 2020 tulifanya interview tarehe 19/12/2025 ila hadi sasa hatujaona pdf ya walioajiriwa miongoni mwa tuliofanya interview......
Je, zile ajira zilikuwa ni danganya toto kuelekea kwenye uchaguzi?
Je, zile ajira zilikuwa ni danganya toto kuelekea kwenye uchaguzi?