PAZIA 3
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 1,102
- 1,919
Kwenu great thinkers, hapa Naitaji michango ya mawazo yenu namna ambavyo tunaweza kulitumia wazo la mchina katika shughuri zetu.
Mchina ametumia fursa ya kuwasambazia Bonanza wahitaji halafu yeye anakuja kuchukua faida, frem ulipie wewe, umeme ulipie na mlinzi juu yako, Sasa huoni Kama anatutumia kujipatia faida kubwa kuendesha biashara yake?
Nasi tulitumie wazo Hilo Hilo kwenye biashara zetu, vijana wengi wana ideas lakini hawana mitaji, wewe mwenye mtaji, tafuta vijana wenye frem zao, mfano, una uhakika wa kupata mchele kutoka Kahama, sambazia vijana, wambie, kwenye kilo moja ya Tsh 1600, wewe akutunzie 1400, unakuwa unapita kila baada ya siku kadhaa kulingana na mzunguko was mtu husika/ Kama wafanyavyo wachina/ nakwambia itamlazimu huyu kijana kujituma ili apate faida haraka wakati huo wewe unanufaika nayeye akinufaika huo ni mfano mmoja.
Unaweza ukafanya hivyo kwa vijana zaidi ya 100 ukawa unapita kuchukua hela tu na KUWEKA mzigo mpya!! Fikiria biashara yako, then tumia fursa hiyo, keep constant kuibiwa maana hizo Ni changamoto Kama zingine. Au mnasemaje wadau?