Kanoutinho
Member
- Jul 22, 2012
- 9
- 1
Sasa hawa NHIF walihesabu tu hizo appl letter na kujua walioomba? Au wanao watu wao ndoo maana hata hawakuchuja?
NBAA inamaana ktk wa2 700 mpaka 900 waliofanya hiyo interview Je hamna hata wa2 20 waliopata max za juu sawa yaani zikafanana??
NB: NI BORA HIZI KAMPUNI ZIKAWAZI NAITA WALE BEST 20 KAMA WANAITAJI 10 MPAKA 15.
- NINI UMUHIMU WA KUAMBATANISHA VYETI NA TRANSCRIPT, WORKING XPRNC.
"NASUBIRI BOMU LA WASIO NA AJIRA LILIPUKE"