Tulijua tu atafika Bei, na kweli Keshafika Bei rasmi leo

Tulijua tu atafika Bei, na kweli Keshafika Bei rasmi leo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Esther Bulaya amechukua Fomu ya Kugombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM) leo June 30 2025. Bulaya amechukua Fomu katika ofisi za CCM Wilaya ya Bunda.

Chanzo Taarifa: East Afrika TV

Na taarifa ambazo nimepata ni kwamba hata yule Jabali aliyeangushwa na aliye Gerezani sasa nae atafika Bei soon tu.
 
Uzuri ni kwamba uchaguzi tafanyika ndani ya CCM na matawi yake tu hivyo hakuna shida wacha WAWEKANE.
 
Chama chake hakishiriki uchaguzi na yeye anataka ubunge, afanyeje?
 
Back
Top Bottom