Tulikosea sana kumfananisha baleke na legend mayele

Tulikosea sana kumfananisha baleke na legend mayele

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kelele zilikuwa nyingi Baada ya legend mwenye mpira wake kuondoka hapa bongo kwenda Egypt
Wapo waliosema mayele kamkimbia baleke ..... wengine walisema baleke atampita mayele [emoji23]

Hizi ni takwimu za baleke kwenye mechi zake 10 za mwisho

[emoji778] mechi alizicheza 10
[emoji778]. Goal scored. 1
[emoji778] Assists. 00
[emoji778]. Yellow cards. 03

Je tuendelee kumfananisha baleke na legend mbape mayele???
1704484742471.jpg
 
Kelele zilikuwa nyingi Baada ya legend mwenye mpira wake kuondoka hapa bongo kwenda Egypt
Wapo waliosema mayele kamkimbia baleke ..... wengine walisema baleke atampita mayele [emoji23]

Hizi ni takwimu za baleke kwenye mechi zake 10 za mwisho

[emoji778] mechi alizicheza 10
[emoji778]. Goal scored. 1
[emoji778] Assists. 00
[emoji778]. Yellow cards. 03

Je tuendelee kumfananisha baleke na legend mbape mayele???View attachment 2863260
Daima mbele nyuma mwiko
 
Attachments

  • FB_IMG_1696523646503.jpg
    FB_IMG_1696523646503.jpg
    9.7 KB · Views: 2
Mzee wa Utopolo kwenye moja na mbili

Daima Nguvu Moja Mwiko Nyuma mbele [emoji1491]
 
Back
Top Bottom