Tulikotoka: Hamisa Mobetto akimaliza Masomo yake Kidato cha Nne Tandale Sekondari

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wana JF

Napenda kuona mpambanaji HM anavyochanja mbuga kuliko watoto wa ushuani, mtoto huyu kipindi cha nyuma alipotoka shule zote Saint Kayumba Tandika Secondary. Ona sasa anavyoizingua dunia, kupata mchumba mwenye hadhi duniani sio mchezo.







 
Tandale Sekondari ndiyo shule gani? Nimesoma shule moja hivi maeneo ya sinza na pale kulikua na njia ya Tandale kulikua na shule mbili za Sekondari moja ni Salma Kikwete na nyingine Manzese ukisogea mbele kuja Sinza kuna private iliitwa Sinza Iteba.

Kwa kuangalia hizo sare ni ama za Kenton au Boko Sekondari. Ila kwa upana wa huo uwanja na majengo haiwezi kua Kenton.
 
Tandika sekondari 2011 form 4 leaver.
 
Reactions: R.K
Kwa hiyo umeona kabisa anayofanya ni mazuri na unayatamani??? Tanzania kazi kweli kweli!
Hivi mwanamke amezaliwa ili afanye nini? Si apate mume aolewe? Na process ya kuolewa ni kuanzia uchumba! Hapo HM ana kosa lipi? Si amempata mchumba anayejiweza kifedha, lazima tumpongeze ili mwisho wa yote aolewe kwa ndoa takatifu. Husda yako inatokea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…