Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Tandale Sekondari ndiyo shule gani? Nimesoma shule moja hivi maeneo ya sinza na pale kulikua na njia ya Tandale kulikua na shule mbili za Sekondari moja ni Salma Kikwete na nyingine Manzese ukisogea mbele kuja Sinza kuna private iliitwa Sinza Iteba.
Kwa kuangalia hizo sare ni ama za Kenton au Boko Sekondari. Ila kwa upana wa huo uwanja na majengo haiwezi kua Kenton.
Tandika Sec School