Tulikotoka: Hamisa Mobetto akimaliza Masomo yake Kidato cha Nne Tandale Sekondari


Tandika Sec School
 
Ni ajabu sana kuona taifa linashangilia uasherati na uzinifu kisa Mobetto katembea na mtu maarufu.

Dhambi imekuwa burudani na ushujaa au mafanikio?

Tutubu![emoji120][emoji120]
 
Lulu 93? Daaaah. [emoji23][emoji23]
Kipindi anatangaza kipindi cha watoto cha ITV mda kidogo walikua wanasema kazaliwa 93..sasa baada ya hapo miaka ikawa inapinduka tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…