Bado mapema, kama hamkosea mchunie atajirudisha mwenyewe.
kweli kabisa unajua mtoto analeta bond kubwa sana ktk r/ship labda ameamua kubarizi na baba mtoto wakisherehekea na mtoto wao .mea mbawa kaka!!Labda mzazi mwenzie katia timu. Au ashatathmin ndani ya muda mliokuwa pamoja hujaweza kujipambanua kuhusu future yenu.
Yaani ukiwa bado primary ulishaanza kulamba mizigo!
hujui mambo ww
mbilimbili bado unafursa ya kushindana na mimi ili mwisho tujue nani mkali!