Tulikutana Pasaka na Pasaka hii amenitema.

Tulikutana Pasaka na Pasaka hii amenitema.

Mosha uoshwa ila ucjali bro hapo ujaonesha sababu ya kuachwa 2liza kichwa labda tarehe pia zina changia.
 
Ni mapema sana kusema umeachwa huenda ikawa anatatizo ambalo hajaamua kukwambia go silent kiasi kama anakupenda kweli atakuelezea kilichojiri kinyume na hayo usimlazimishe akupenda aweza amua akubali kukuridhisha tu ilhali moyoni mwake haupo.
 
Labda mzazi mwenzie katia timu. Au ashatathmin ndani ya muda mliokuwa pamoja hujaweza kujipambanua kuhusu future yenu.
kweli kabisa unajua mtoto analeta bond kubwa sana ktk r/ship labda ameamua kubarizi na baba mtoto wakisherehekea na mtoto wao .mea mbawa kaka!!
 
Acha mchezo wa wakubwa wewe. Yaani ukiwa bado primary ulishaanza kulamba mizigo!
 
mbilimbili ckujua kama huyo demu mlikuwa mnachakachuana kwani mimi nishamchukua tangu leo kwa hiyo jua kuanzia sasa inawezekana amekupotezea kwa sababu ya mmimi.hata hivyo bado unafursa ya kushindana na mimi ili mwisho tujue nani mkali!
 
Back
Top Bottom